Uka run hyo setup?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hata mimi niliuchelewa sana nikakaa nikijua mm ni King kumbe sijui lolote nikicheza na Bara la Ulaya tupu.huu uzi sijui imekuaje miaka yote hii sijauona.
Kumbe? hata Scania 730hp naweza ongeza?Mkuu ongeza horsepower hizo...
Rusia kama huna chuma cha maana kuna milima huez panda
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu pakua latest version 1.34 link ipoo juu hapo kidgosamahan jaman mm nina ilo game lkn sijui ni la outdated ila nataka niliupdate niweze kutumia bus nifanyeje wadau msaada tutani hapo nitumie versio gani ? hili ililonalo naona linasoma version1.1.1.0
kuelewa kumbe hizi Horsepower sio real kwa magari yanayotembea? maana naona Tractor (vichwa) Scania zinazokuja Tanzania ni 124hp lkn niligoogle nikakuta zipo R730hp na S730hpGari zote mkuu...
Kikubwa unapakua mods ya Horsepower tu unafunga kweny chuma chako
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
https://ets2.lt/en/category/detalestiuningas/nime
kuelewa kumbe hizi Horsepower sio real kwa magari yanayotembea? maana naona Tractor (vichwa) Scania zinazokuja Tanzania ni 124hp lkn niligoogle nikakuta zipo R730hp na S730hp
haya Mkuu nisaidie hizi Mods link nisearch wapi ? nisaidie
Ndio inasumbua mkuuMkuu bado inakusumbua?
Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete steamNdio inasumbua mkuu
Ahsante sana ngoja nikajaribuGo to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete steam
Kisha unistall game full
Alaf install sasa upya game lako,ukimalza start game and then
Create profile ---> Uncheck "Use Steam Cloud". [Hii option ya ku untick use steam cloud ndio uchawi,hutakiw kuiacha na tick
Mkuu naomba nisaidie jinsi ya kuUpgrade hili Game kutoka 1.27 kwenda hiyo 1.30, nimeingia You Tube sijafanikiwa, tayari imelipata kutoka Torrent nimekwamia hapoUnakwama wapi mkuu...umesha
na hapo nimekwama Mkuu tutani, niliingia huko Puna Peru gari haziwezi kabisa mpaka nafika grade 5 bado sijaweza kuingia hiyo Grade 15 ili ninunue gari kubwa lenye nguvu, nimelazwa njiani huko Toco Toco, Yana Huara, Yana Mayo, Putina Puncu sina hamu kila game ni LATE, dah game nalala madraja mabovu kona Duh msaada mkuu ninyi magari yenu mnaongezaje Hosre power
Haha polee...unatumia version gani ya game?na hapo nimekwama Mkuu tutani, niliingia huko Puna Peru gari haziwezi kabisa mpaka nafika grade 5 bado sijaweza kuingia hiyo Grade 15 ili ninunue gari kubwa lenye nguvu, nimelazwa njiani huko Toco Toco, Yana Huara, Yana Mayo, Putina Puncu sina hamu kila game ni LATE, dah game nalala madraja mabovu kona Duh msaada mkuu ninyi magari yenu mnaongezaje Hosre power
View attachment 1082531