Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hivi wadau kwani hakuna tracks zenye unaweza kuendesha kwenye barabara zetu Africa yani rough road + tope + changara/kokoto madaraja mabovubovu milima mikali + mitelemko ya kufa mtu... 1
 
Hivi wadau kwani hakuna tracks zenye unaweza kuendesha kwenye barabara zetu Africa yani rough road + tope + changara/kokoto madaraja mabovubovu milima mikali + mitelemko ya kufa mtu... 1
zipo tu Mkuu tena kali kuliko za Afrika, nasikia hiyo ya Urusi ni balaa,
jaribu Mod ya Peru Puno-Peru ni balaa yaan km umekaa kwenye kiti na unabonyeza keyboard unaweza nyanyuka, ipo Milima, makorongo, mito majabali na mavumbi kuliko Afrika.Nadhani Mods ya Map of Africa
jaribu hiyo Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
hawajaitengeneza - labda wataalam watfafanua
 
Ok, asante sana kiongozi..
 
Wakuu,mimi sina kabisa hili game,nkitaka ku instal kutoka mwanzo,naanzia wapi naishia wapi?
 
Sure mkuu
Ikigoma hyo bas itakua game ina error
Mim nilipakua 1.34 ila ya gb 5

Hatimae nimefanikiw Ku install dahh aikua kaz rahisi now nipo kwny Baltic sea asante mkuu
 
Attachments

  • 1556455598519-1606752634.jpg
    1556455598519-1606752634.jpg
    187.9 KB · Views: 28
zipo tu Mkuu tena kali kuliko za Afrika, nasikia hiyo ya Urusi ni balaa,
jaribu Mod ya Peru Puno-Peru ni balaa yaan km umekaa kwenye kiti na unabonyeza keyboard unaweza nyanyuka, ipo Milima, makorongo, mito majabali na mavumbi kuliko Afrika.Nadhani Mods ya Map of Africa
jaribu hiyo Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
hawajaitengeneza - labda wataalam watfafanua
Ajarbu na harsh rusian baikal ni moto wa kuotea mbal...ila inataka old version ya ets2
 
Mkuu hapo niliomba kuUpgrade Horse Power ya Scania ili nipasue Milima huko Baikal
sasa naingiaje kuinstall maana nimeshaidownload na nipo Mod - Module au niende garage
Scania niliyonayo ina 730Hp
Una version gani???
 
Anti viruse ilkua inafuta baadh ya mafail baada ya kuya extract

Pia kulkua kuna file linaitwa stream nilitakiw nilifute ii niliipata YouTube
Anhaa dah hongera mkuu..sasa kazi kwako
 
Ajarbu na harsh rusian baikal ni moto wa kuotea mbal...ila inataka old version ya ets2
Mkuu kcamp bado nina 1.27 version nilTorrent 1.30 ukaniambia bora niweke 1.34
kwa hiyo huko Russian Baikal bado nipo tu Puno - Peru na hili la kawaida Grade 61 Legend
naweka hilo ulilonipa la 1.34 nitaweka mrejesho
 
Hivi wadau kwani hakuna tracks zenye unaweza kuendesha kwenye barabara zetu Africa yani rough road + tope + changara/kokoto madaraja mabovubovu milima mikali + mitelemko ya kufa mtu... 1
Zipo njia mbaya afrca hazioni ndani
Kuna route hutoboi mwenyewe utacancel ama kila saa upige F7
Unakuta njia mafuriko barabara huoni imefunikwa ukiteleza tu korongoni
Unakuta ajari njiani hakuna pakupita eidha ushuke bondeni au urudi nyuma uzunguke yaan kwa mfano unaenda moro kufika VIGWAZA labda kuna ajari nijia haipitiki uchagua ushuke kolongoni uharibu gari au urudi nyuma uzunguke bagamoyo charinze then upeleke mzigo moro kumbuka ukirudi nyuma unapoteza muda utaanza kupigiwa mziki unachelewa unakatwa pesa na pia kuna madaraja umetiboa kibahati tuu or uingize kolongoni uharibu gari XP zipungue utajijua sasa mwenyewe
Kuna road moja hiyo hiyo milima kitonga fala tu halafu gari zimeharibika njiani kupishana hatari halafu tope la haja taili zinaslip tuu noma sana sans
ets2_00003.jpeg
ets2_00143.jpeg
ets2_00133.jpeg
ets2_00135.jpeg
ets2_00138.jpeg
ets2_00127.jpeg
ets2_00121.jpeg
ets2_00129.jpeg
ets2_00101.jpeg
ets2_00086.jpeg
ets2_00139.jpeg
ets2_00068.jpeg
ets2_00072.jpeg
ets2_00071.jpeg
ets2_00079.jpeg
ets2_00009.jpeg
ets2_00021.jpeg
ets2_00019.jpeg
ets2_00077.jpeg
ets2_00047.jpeg
 
Back
Top Bottom