Fahamu jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,714
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,714 2,000
Kama Title ya thread inavyosema,Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia mods mbal mbal katika game yako ya ETS 2.

Sometimes inafika stage kweny hili game unakua kama umechoka zile barabara zake,magar yake,limitations pia katika kununua trucks had kufikia level flani ambazo ni kubwa,lakini pia kuna maeneo meng tu ambayo ungependa kudrive lakini kweny official maps hayo maeneo hakuna. Wengi wangependa ku drive maeneo yanayofananan na huku kwetu,yani barabara za vumbi ,kona zakutosha na milima iliyo shindikana.

[HASHTAG]#Baadhi[/HASHTAG] mods utazo enjoy #
1.utaweza cheza game yako kweny region tofaut ambazo hazipo kweny official maps.
2.pia utaweza ku pimp truck yako vile unavyopenda wewe...mfano kuongeza Horse power ya gar lako kuanzia 1000HP nakuendelea,Rims,tyre
3.Fast level and money
Hapa unaweza fika level za juu jus kwa haraka sana ndani ya trip kama tatu unaweza fika level kuanzia 16 na pia utakua na starting money kubwa sana na kila kitu kitakua unlocked
4.Trucks and Busses
Hapa utaweza weka mabus ndan ya euro truck traffics tena mabus ya kisasa kama marcopolo G7 na pia unaweza endesha.
Kwa upande wa trucks unaweza weka trucks za makampuni tofaut na yaliyo ndan ya euro truck..hapa unaweza kutana na Trucks kama KENWORTH,MAZ,KAMAZ na hata magar madogo haya.

Mods ni nyingi na hizi faida zinatoka ndan ya kila mods utayotaka wewe.

[HASHTAG]#Hasara[/HASHTAG] za mods#
Game ku crush...baadhi ya mods znakua zina matatizo na kufanya game kucrash,lakin pia kama game version na mods zikiwa tofaut basi game pia lita crush.
*JINSI YA KU INSTALL MODS*
hapa ndipo kweny kusudio la thread hii,na zifuatazo ni hatua za kuweka mods kweny hili game.

1. Download mod unayotaka hapa ETS 2 mods ukishamaliza basi extract mod yako Kweny folder la Documents/Euro Truck Simulator 2/mod folder.Kama utakua hauna folder la mod kama hapo juu basi sio kesi,wewe create new folder ndan ya folder la euro truck simulator 2 na rename ilo new folder kua "mod" kisha paste mod zako humo.

2.Run game ~> create new profile kisha kweny sehem ya mod manager fungua hapo na utakuta mods zako kisha Enable mod(s) and save changes.Done

NB.baadh ya mods za map utatakiwa kuchagua ile map yako kweny playing module..kisha ndio uendelee.hizi huitwa standalone map.

*hakikisha mod yako iko compatible na game version uliyonayo,ni vizur kua na latest version ya game ambayo ni 1.27 hii itakufanya kua na mods nyingi mana developer wanakimbizana na version ya game.
*pia ni vizur kusoma comments za wadau kuhusu mods unayotaka kudownload,kuna mods huwa fake na hazifany kazi..pia baadhi ya mods huwa zina maelezo special ya kuistall,vitu kama ku disable Dlc labda.
Hayo ni machache ya kuzingatia.

Links
Kuapata latest version ya euro truck V.36

[ETS2 1.36.2.2s(Road To Black Sea)]

Link za mods

ETS 2 mods

Euro Truck Simulator 2 mods, ETS 2 mods

Euro Truck Simulator 2 Mods | ETS 2 Mods - Modhub.us

ETS 2 mods - Euro truck simulator 2 mods - ETS2MODS.LT

*Map ambazo ni nzur kuzijaribu*

Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
Sio mbya ukianza na hii ina rough road za kama kwetu...map zingine nzuri ni
Southern region
Trucksim
Rusmap
Russian baikal
Mario map .
Tapatalk Cloud - Downlaoad File road-3_ModLandNet.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 1492115157_eut2_hq_58ef37cf.png
Tapatalk Cloud - Downlaoad File ai-traffic-mod-for-ets-2-ver-1-21-2-1s_1.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File s-korea.jpg
 

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
617
Points
1,000

Son.j

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
617 1,000
nili install mod ya gari dogo lakini naona huwez kuwa na mission za kupata hela zaidi ya kuzurura mitaani. Je Niki install mod ya bus nnaweza kupata mishe ya ku make money?
 

davidson689

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
636
Points
225

davidson689

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
636 225
nili install mod ya gari dogo lakini naona huwez kuwa na mission za kupata hela zaidi ya kuzurura mitaani. Je Niki install mod ya bus nnaweza kupata mishe ya ku make money?
Tupia hiyo mod ya Gari ndogo mkuu si Tukazurule Manchester huko. hahahahaha
 

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,714
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,714 2,000
nili install mod ya gari dogo lakini naona huwez kuwa na mission za kupata hela zaidi ya kuzurura mitaani. Je Niki install mod ya bus nnaweza kupata mishe ya ku make money?
Hapana mkuu..wewe tia mod za truck tu labda bus uweke kweny traffic tu au ucheze ila mod ya EA bus

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
 

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
5,714
Points
2,000

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
5,714 2,000
Nakwama kuactivate ramani ya Peru. Pia thanks for the link ta ETS2 1.27 ipo poa kwelikweli yaani sasa ndo inakuwa kama unaendesha gari kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakwama wapi mkuu...umesha extract kweny mod folder hyo map? Na kweny mod manager ume chagua hyo map peru?
 

Forum statistics

Threads 1,392,103
Members 528,540
Posts 34,098,692
Top