Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

je nikishaipakua nina actinate vipi?
na ninaweza kuunganisha na Legend grade 60 niliyofikia au hizo zinakufa?
Ukipakua cracked inakua ipo activated kabisa...ngoja nikusakie link

Na hzo level zako zitafutika utaanza upya

Ila kuna mod ya fast level ipo nayo
 
Nashukuru Mkuu ngoja nianze sasa hivi kumbe 2.8GB ngoja nipambane nalo
1082584
 
Mkuu ebu install upya
Ila pale mwanzo kabisa kweny setup kabla hujaclick install tuma screenshot yake nione

Io apo mkuu
 
Attachments

  • IMG_20190427_224650.jpg
    IMG_20190427_224650.jpg
    115.9 KB · Views: 27
  • IMG_20190427_224639.jpg
    IMG_20190427_224639.jpg
    141.6 KB · Views: 27
Sure mkuu
Ikigoma hyo bas itakua game ina error
Mim nilipakua 1.34 ila ya gb 5

Asante kwa kujal ngoj tubadilishane ujuz mm nilkua na2mia 1.16 sa sijajua kam iki ki2 kita function .34 nilkua na2mia app inayoitw cheat engine ambayo nauwezo wakuwek cheat money mpaka kiwango utakachotak ww if billion 4 ok 3 or 9 au chochot then inauwezo wa cheat levels ad kiwango utakacho itaj
 
Attachments

  • 15563978175921408128285.jpg
    15563978175921408128285.jpg
    189.9 KB · Views: 27
Asante kwa kujal ngoj tubadilishane ujuz mm nilkua na2mia 1.16 sa sijajua kam iki ki2 kita function .34 nilkua na2mia app inayoitw cheat engine ambayo nauwezo wakuwek cheat money mpaka kiwango utakachotak ww if billion 4 ok 3 or 9 au chochot then inauwezo wa cheat levels ad kiwango utakacho itaj
Sure mkuu..pia kuna mods za hivyo..mi pia ninayo
 
Back
Top Bottom