pamjela acha mchezo na hilo Scania 730 S halafu ni V8 engine mlio wake tu kinanda na maengine break siweki hata music nafyatua buuton C ya speed control mwendo na mm, maana speed limit na faini za Traffic nimefuta zote, basi mwendo ni kuwahi mizigo,Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
SIJAWAELEWA WAKUU,The Harsh Russian Baikal R3 1.24 | ETS 2 mods
MAP M.I.I V0.3.1 (Indonesia Map for ETS2 1.30.x) | ETS 2 mods
RUTAS SALVAJES PERU 1.27.XX | ETS 2 mods
Map Puno Peru v 1.5 | ETS 2 mods
Sasa ingia chagua ipi inaendana na version ya game yako kwa urahisi kwenye seach unaandika puno peru basi inakuletea version zote unachagus unayotaka au unaenda moja kwa moja kwenye site husika
Mkuu asante kwa kutufungua mm nilijua nakaribia mwisho kumbe sijafika hata robo ya barabara wala MagariHakuna version ya 4
Latest ni 1.34 Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hilo ni file la kawaida lipo katika mfumo zip haliitaji torrent unadownload kawaida tu via Idm au hata kutumia opera yenyewe au firefox nkSIJAWAELEWA WAKUU,
nikifungulia IDM zitakubali au mpaka torrent?
nikishadownload niifungue game lenyewe kwenye Profile na kuingiza Mods mojawap km Map Puno Peru au nitumie tu kwenye Document faili la EoruTrack Simulator
maana nilijua nakaribia mwisho nipo King's of the road kumbe wengine mpo level 76 halafu mmeshahama Europa mpa Peru na Russia
Hizo mods kwa IDM zinakubali pia, Hakikisha tu mod unanayodownload inaendana na version ya Game.SIJAWAELEWA WAKUU,
nikifungulia IDM zitakubali au mpaka torrent?
nikishadownload niifungue game lenyewe kwenye Profile na kuingiza Mods mojawap km Map Puno Peru au nitumie tu kwenye Document faili la EoruTrack Simulator
maana nilijua nakaribia mwisho nipo King's of the road kumbe wengine mpo level 76 halafu mmeshahama Europa mpa Peru na Russia
em tupia kapicha mkuu,Level 102 (Divine Champion) na Scania V8 nakula mitaa tu
upo mbali Mkuu sana mm bado 60 na naitwa Legend sijui huko 100 (Divine Champion)nitafika liniLevel 102 (Divine Champion) na Scania V8 nakula mitaa tu
Gearbox mkuu ingia garage utaweka unayotaka wwMkuu asante kwa kutufungua mm nilijua nakaribia mwisho kumbe sijafika hata robo ya barabara wala Magari
ninalo Scania 730hp nikaikataa Volvo naada ya kuona hp ni ndogo kumbe nalo zuri?
ngoma nikilinunua Volvo ninapotaka kubadili niirudie Scania nafanyeje? maana nimebadili Gearbox AT ya 12 gear nikachukua ya 10 nashindwa rudia ile ya 12 Msaada p/se
Swali la 2 Game niliinstall katika Window 10 nikaona Mb zikiliwa sana nikarudi Window 7 sasa nzito na zinacrash umesema niingie Low, je nikIinstall kwenda W 10 hili game Level niliyofikia naweza ihamishane au naanza mwanzo km nilivyopoteza juzi
Mkuu ww game lako ni version ipi?View attachment 1050635
DOWNLOAD 700 MB Part 1 [Sharemods]
DOWNLOAD 700 MB Part 2 [Sharemods]
DOWNLOAD 620 MB Part 3 [Sharemods]
DOWNLOAD 700 MB Part 1 [Uploadfiles]
DOWNLOAD 700 MB Part 2 [Uploadfiles]
DOWNLOAD 620 MB Part 3 [Uploadfiles]
katika Harsh Russian hizi Mkuu zinanikatalia niki Copy na kutupia kule IDM sijiu ni wapi nakosea kuna njia nyingine?
natanguliza shukrani
Mkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)Mkuu ww game lako ni version ipi?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwa case Mimi nayoifahamu kama ulikuwa na engine kubwa ina cost £1000 halafu ukaweka engine ndogo ya £800 basi utaongezewa £200 katika balance yako. Ila kutoka ndogo kurudi ile kubwa sijawahi fuatilia vizuri. Labda kama inakuwa viceversa yaani unakatwa £200 au unakatwa kubwa zaidi kutokana na bei ya engine.Mkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)
nisaidie tena kwenye Garage km nilikuwa nayo ya awali gia 12 nikaitoa nikabandika gia 8 ile gia 12 ni kuinunua tena au naikuta bado yangu ya bure
halafu hizi teller huwa hazitengenezwi garage? maana naona zinakula marks hasa najua kurepair kichwa tu
Pia trailer huwa hazili pesa katika repair ya gari maana katika repair watarepair kichwa tu. Trailer kama umafanya demage yake katika transit, utakatwa XP points na Pesa kidogo utapofikisha mzigo destination pointMkuu kcamp naona wameandika 1.27 t 7s (32 bit)
nisaidie tena kwenye Garage km nilikuwa nayo ya awali gia 12 nikaitoa nikabandika gia 8 ile gia 12 ni kuinunua tena au naikuta bado yangu ya bure
halafu hizi teller huwa hazitengenezwi garage? maana naona zinakula marks hasa najua kurepair kichwa tu
Mkuu Mwananchi B nimekukubali, kumbe ndio maana ya Game uufikishe mzigo salama, ikitokea damage wanafyeka ukichelewesha njiani wanafyeka, ukilala sana njiani wanafyeka.Pia trailer huwa hazili pesa katika repair ya gari maana katika repair watarepair kichwa tu. Trailer kama umafanya demage yake katika transit, utakatwa XP points na Pesa kidogo utapofikisha mzigo destination point
Ha ha ha ha ndio Mkuu, nakumbuka kuna safari moja nilikomaa kinoma halafu nikachewesha mzigo. Sikulipwa pesa kabisaaaa na kufyekwa XP juu daaahMkuu Mwananchi B nimekukubali, kumbe ndio maana ya Game uufikishe mzigo salama, ikitokea damage wanafyeka ukichelewesha njiani wanafyeka, ukilala sana njiani wanafyeka.
Nipe siri Mkuu hivyi nikijiunga na hiyo Internet yao (km Facebook,Blogspot, Instragam nk ya kwao) inasaidia kuactivate game au nikae Nje niwe na Download kupitia njia link za nje.Ha ha ha ha ndio Mkuu,.