Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko?
Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye mfuko (hawana kitu cha kulipwa)
Kwa NSSF watalipwa Funeral Grant (Msaada wa mazishi pekee)