FAHAMU CHANZO CHA UMASIKINI WA MTU MWEUSI

Atomic orbital

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
369
473
Dunia inaundwa na mabara 7 moja limejaa barafu
(Antaktika: Hakuna wakazi wa kudumu lakini watafiti na wafanyakazi 4,000 katika majira ya joto na 1,000 katika majira ya baridi.)

Bara la Africa ni la pili kwa ukubwa baada ya Asia
Afrika: kilomita za mraba 11,677,239 (kilomita za mraba 30,244,049)

Bara masikini kuliko yote duniani ni AFrica
Na mataifa maskini zaidi ndani ya bara la Africa ni mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara

Huwa najiuliza wakati mkoloni anaanzisha viwanda na kuanza kutafuta raw materials, cheap labor ,market mtu MWEUSI alikuwa Hajui Yuko wapi ni kwanini anatoka wapi anakwenda wapi

CHANZO CHA UMASIKINI ni laana na kamwe huwezi kuiikimbia laana

Nanukuu GENESIS chapter 9

Wote tunafahamu baada ya gharika duniani walibaki watu nane kati Yao ni Wana watatu wa kiume wa NUHU
Nanukuu GENESIS chapter 9 verse 19upto 29
Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.

25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.

26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.

27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.

Hapa ndipo kilipo kizazi Cha AFRICA
Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.

7 Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.

8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
 
Logic ndogo tu
Ili mwanamke apate mimba sharti ashiriki ngono
Ili Simba apate chakula sharti afanye mawindo
binadamu kuishi sharti apate oxygen na chakula hivyo itamlazimu kufanya kazi

Ili lipatikane taifa maskini lazima viongozi wake wawe wabinafsi , mafisadi,rushwa n.k

Ili uwe mtumwa Kwa waarabu na wazungu lazima uwe na hizo character ambapo yote ni matokeo ya laana
 
Dunia inaundwa na mabara 7 moja limejaa barafu
(Antaktika: Hakuna wakazi wa kudumu lakini watafiti na wafanyakazi 4,000 katika majira ya joto na 1,000 katika majira ya baridi.)

Bara la Africa ni la pili kwa ukubwa baada ya Asia
Afrika: kilomita za mraba 11,677,239 (kilomita za mraba 30,244,049)

Bara masikini kuliko yote duniani ni AFrica
Na mataifa maskini zaidi ndani ya bara la Africa ni mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara

Huwa najiuliza wakati mkoloni anaanzisha viwanda na kuanza kutafuta raw materials, cheap labor ,market mtu MWEUSI alikuwa Hajui Yuko wapi ni kwanini anatoka wapi anakwenda wapi

CHANZO CHA UMASIKINI ni laana na kamwe huwezi kuiikimbia laana

Nanukuu GENESIS chapter 9

Wote tunafahamu baada ya gharika duniani walibaki watu nane kati Yao ni Wana watatu wa kiume wa NUHU
Nanukuu GENESIS chapter 9 verse 19upto 29
Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;

akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.

25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.

26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.

27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.

Hapa ndipo kilipo kizazi Cha AFRICA
Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.

7 Na wana wa Kushi ni Seba, na Havila, na Sabta, na Raama, na Sabteka. Na wana wa Raama ni Sheba, na Dedani.

8 Kushi akamzaa Nimrodi, akaanza kuwa mtu hodari katika nchi.
Hiyo Biblia ni hadithi za kutunga na kuungaunga za Wahayudi.

Usiifanye kama source ya maana hivyo.
 
ya kuambiwa uchakate na akili yako.
 
Acheni wizi na utapeli na muwe mnajali kazi zenu
Tumikieni watu kwa heshima zote fanyeni kazi mlizotumwa na wahudumieni wananchi kwa heahima zote bila kuuliza rushwa

Upumbavu wetu usiwe sababu
Tusilaumu ujinga wetu
Siku mkiacha wizi mtafika mbali
 
Back
Top Bottom