teh teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwaka wetu huu.
Wifi langu hilo.
Hv kaka hajarudi tu.
Asprin sijabugi labda aliyebugi ni kati ya Ruttashobolwa na Chimbuvu wanaomgombea Madame B au Nicas Mtei na Filipo wanaomgombea sweetlady. Si unaona hata Bishanga kaingilia kati? Kamati ya Baba V na Mamndenyi imelala wallahi!!
Chimbuvu mwenzie alinasa kule temeke na yeye aangalie!
Asprin sijabugi labda aliyebugi ni kati ya Ruttashobolwa na Chimbuvu wanaomgombea Madame B au Nicas Mtei na Filipo wanaomgombea sweetlady. Si unaona hata Bishanga kaingilia kati? Kamati ya Baba V na Mamndenyi imelala wallahi!!
Nyie vijana wawili hapo juu mnaongelea makitu gani hapa?
Mmebugi meeen... Oh Mammma!!