Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ulitzka Nondo afanywaje kamanda maana Acacia wameshinda nini ? Wapi? Hivi what is your problem


You guys have a problem...

Nondo amekua circus kwenye serikali....yaani piga ishue kabisa..Nguvu dola zima limetumika kudili na Nondo..

Halafu the funny is,ni very petty issue....Ishu yenu ni viwonder,sasa sijui Nondo amekua agenda ya kitaifa vipi?Ni kukoswa dira tu!

Acacia wameshinda kesi zote,na serikali yenu lazima inyooshwe big time,mnadhani sheria ni za mchezo?Tundu Lissu aliwaambia,mnaona masihara..
 
Hakuna anaelia ,tunashangaa upeo mdogo wa wachambuzi wa economistic,bloomberg & BBC towards Tanzania, na jinsi wanavyotumika, acacia wameshinda vita gani?, wanaumia sana kuona pesa walizokuwa wamezoea kuchota zimebuma, kilichobaki ni kuandika habari za kimagumashi waungwe mkono, lakini at the end wajue hili goma litabaki hivi hivi hadi 2020.
Nondo ajitetee mwenyewe mahakamani, haki yake atapata,kama alitekwa au alijiteka kwa kutaka kuwa mwanasiasa hodari au awe kama mandela bado mahakama itaamua.

Uchambuzi wa Economics leo umetarget TZ mnalia,wakichambua chumi zingine hamuongei chochote?Nyie ni special kiasi gani?Kafieni huko

Msikatae,mna tatizo very fundamental ,halafu mna deny..mpo kwenye denial kubwa sana....

Bloomberg na BBC waikandie TZ kuna faida gani wanapata?Taja A mpaka Z kama hutaandika upupuu hapa....

Nondo amegeuka ndio agenda yenu ya kitaifa,mnaacha viwonder,Nondo kawa agenda yenu,mtakaa mlete maendeleo kweli?
 
Mkuu acha kujibu kimbea kama umevaa kanga, weka facts zako na wewe. Mathalani, jamaa kaandika yule mtumishi wa umma aliyesahau data za bajeti hakufukuzwa kwenye mkutano wa hadhara. Kama una fact ya kupinga hilo weka hapa.


Mkuu wa Nchi unapambana na Afisa wa Wilaya?Really?

NI ukoswaji wa akili kabisa...

Nani mmbea?Kwa kutumia kipimo chako wewe?Pulizzzzz

Shanga?Waimba ngoma za utamaduni kwenye zinduzi za miradi ya uchwara wanavaa shanga,waambieni wale waache kwanza ndio upate mandate ya kuniambia mimi anything about shanga...You are misguided loon!

GTFOHMF
 
Unawakuta watu wanafurahi info za Economist siku hizi wana #. Wanasubiri kwenda the Hauge kushitaki wakipigwa baada ya 26/4. Ben Saanane mbona hawamuulizi kubenea aliyesema yupo vijue vya kahawa. Huyo Nondo aliyejiteka si ni hayo ya Lissu na watu wa madini kupigana marisasi ili walete shida na serikali. Wakadandia ya Akwilina kumbe wao wasingeandamana hovyo saa ngapi angekufa. Mimi niwaone wote barabarani hiyo 26/4 ili kieleweke maana hata sisi tumewachoka na hizi timbwiri zenu zisizo na mpango ili tupumue. Andamaneni tutawaangalia kwenye tv halafu Rais atakuwa Lissu na makamu Mange ili tuone maendeleo watakayotuletea
 
Nyumbu ni nyumbu tuu.

Kama mimi ni nyumbu then what makes u?Einstein?

Zitto anawaambia kila siku..maarifa,maarifa...!

Kijani kizima leo eti kimegukia BBC,Bloomberg na The Economics...Motherufkcer Turnover ya Bloomberg tu per year inazunguka GDP ya TZ uchwara included..Halafu wapuuzi mnakaa mnadhani mna high ground ya kuharisha against them,niggaz sharra'p!
 
Jibu hoja kwa facts kama mwandishi alivyotoa facts!! Acha kubwabwaja!!

Katoa FACTS zipi wakati ni propaganda za uongo wameandika UVCCM wakamsainisha mzungu!

Hakuna FACTS,kuna uongo mwingi sana mle....Nikuamini wewe muongo au walao hata niamini Economics?

Mwenyeji muongo anaongopa zaidi..hamfai regardless!
 
Hivi ndo vitu ambavyo akina Msigwa na wenzake wa Lumumba inabidi wafanye. Facts zipingwe kwa facts. Siyo hawa vijana wa Lumumba wanashinda JF wakiachia povu na kutukana. Povu na ulalamishi kamwe haviwezi ku-challenge andiko kama la Economist.

Mfano sijaona magazeti ya nje yanapo-acknowledge uthubutu wa JPM kujenga reli, na miradi mingine mikubwa! Hata re-negotiations za mikataba ya madini...I mean siyo kwamba JPM hana mabaya..Lakini na mazuri yake yasemwe! Tumkome nyani giladi!

Next time mkiona gazeti la kimataifa liwe the economist, Bloomberg nk wameandika habari negative kuhusu nchi/serikali yetu..inabidi wahusika waingie front kujibu kwa kuweka records straight. siyo kukimbilia JF na kuanza kulialia kwamba JPM anachukiwa na haya magazeti/jarida. Dunia haina huruma na yeyote.

Mbona kaandika kawaida tu mkuu? au sababu katumia lugha tofauti?
 
Mkuu nimewatumia Economist hii article nataka kuona kama wataiweka katika toleo lao.
 
Mbona kaandika kawaida tu mkuu? au sababu katumia lugha tofauti?
Ni vizuri kujibiwa ndicho alichokimaanisha siyo kingine najua kwa sisi wengi tulioshangilia toleo la economist huko nyuma hatuwezi kufurahia hii article. Hawa jamaa nilishasema huko nyuma wamebadilika sana baada ya kuwa watetezi wamejikita katika kundi la walafi muanzilishi wao kwa miaka mingi alikua m liberal wao sasa hawajulikani kabisa kama wanasimamia wapi.
 
Mkuu,
Nimeshatukia. Nimetumia tool kugundua majina na hilo jina halitokei popote.

Haiwezekani mtu mpaka awe Dr tena aende kuishi nchi za watu kusiwe na trace yake kwenye mitandao yote.

Hii barua imeandikwa na Lumumba na huenda mzee Mwanakijiji ndiye kaandika.


Mkuu

Haya majitu ya kijanini yanadhani TZ ni wajinga kama wao...Tunawaangalia tu..

Huu mzigo walio-formulate ni sanaa tupu!

Nakubaliana na wewe mkuu!
 
.

Mfano sijaona magazeti ya nje yanapo-acknowledge uthubutu wa JPM kujenga reli, na miradi mingine mikubwa! Hata re-negotiations za mikataba ya madini...I mean siyo kwamba JPM hana mabaya..Lakini na mazuri yake yasemwe! Tumkome nyani giladi!.

Mabaya anayofanya yana negate hayo unayoyaita mazuri. Pia suala la usiri kwenye tendering process na miktaba ya ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa Chato Airport, linafanya public accountability kuwa impossible. Tutajuaje kama Magufuli apigi dili, kama alivyokuwa akifanya Wizara ya Ujenzi?

Besides, nini ni vinapaswa viwe vipaumbele kwenye kuondoa umaskini wa Tanzanian peasants? Kukopa trillion of money kujenga reli na kununua ndege, ama kuwekeza kwenye sekta kilimo na huduma za elimu, maji na afya? CCM wanapenda ku-cherrypick busara za Mwalimu. Wanasahau Mwalimu alisema maendeleo ni watu na siyo vitu. Wekeza kwenye kilimo (irrigation infrastructure, extension services, subsidies za mbegu, madawa, utunzaji wa mazingira n.k.) na elimu (awali, upili na elimu ya juu; na R&D kwenye vyuo na taasisi za sayansi, utafiti na teknolojia). Hivi ndivyo nchi zilizoendelea after vita ya pili ya dunia zilivyofanya.

Kuhusu hiyo commentary iliyojibu makala ya The Economist, jambo moja mwandishi (na pro-Magufuli) amesahau ni kwamba Magufuli amekuwa sehemu ya corrupt goverments kwa zaidi ya miaka 20. Magufuli mwenyewe ni corrupt kama walivyo watangulizi wake Mkapa na Kikwete. Yaani huyo jamaa na pro-Magufuli wengi wanajifanya kama Magufuli katokea chama cha upinzani. This charlie has been part of the crooked CCM gang and system for 20+ years.
 
Mabaya anayofanya yana negate hayo unayoyaita mazuri. Pia suala la usiri kwenye tendering process na miktaba ya ujenzi wa reli, ununuzi wa ndege, ujenzi wa Chato Airport, linafanya public accountability kuwa impossible. Tutajuaje kama Magufuli apigi dili, kama alivyokuwa akifanya Wizara ya Ujenzi?

Besides, nini ni vinapaswa viwe vipaumbele kwenye kuondoa umaskini wa Tanzanian peasants? Kukopa trillion of money kujenga reli na kununua ndege, ama kuwekeza kwenye sekta kilimo na huduma za elimu, maji na afya? CCM wanapenda ku-cherrypick busara za Mwalimu. Wanasahau Mwalimu alisema maendeleo ni watu na siyo vitu. Wekeza kwenye kilimo (irrigation infrastructure, extension services, subsidies za mbegu, madawa, utunzaji wa mazingira n.k.) na elimu (awali, upili na elimu ya juu; na R&D kwenye vyuo na taasisi za sayansi, utafiti na teknolojia). Hivi ndivyo nchi zilizoendelea after vita ya pili ya dunia zilivyofanya.

Kuhusu hiyo commentary iliyojibu makala ya The Economist, jambo moja mwandishi (na pro-Magufuli) amesahau ni kwamba Magufuli amekuwa sehemu ya corrupt goverments kwa zaidi ya miaka 20. Magufuli mwenyewe ni corrupt kama walivyo watangulizi wake Mkapa na Kikwete. Yaani huyo jamaa na pro-Magufuli wengi wanajifanya kama Magufuli katokea chama cha upinzani. This charlie has been part of the crooked CCM gang and system for 20+ years.

Kipaumbele hakiwezi kuwa kilimo kama vijana wanaojiita wasomi hawataki kwenda vijijini na kujikita kwenye kilimo. Woote wameng'ang'ania mijini na wako mitandaoni 24/7 wanasubiri ajira kwenye taasisi za uuma na binafsi. "WhiteColar job seekers"
 
Good, impartial balanced rejoinder.....Dr. Herman Louise Verhofstadt
Can you put this guy's CV? Or at least a link where his bio is? I can't find him online, with exception of links having this baloney rejoinder. Yaani ni Michuzi na blog gani sijui ndiyo inatokea ukim-google huyo mjamaa.
 
Tawala nyingi gandamizi zipo tayari kanunua 'wataalamu wa promo' /PR Consultants firm hata wa kutoka nje ili mradi waendelee na kudanganya ulimwengu kuwa mambo ni safi ktk utawala wao.

Ikiwa CCM wanaweza kanunua 'wapinzani' watashindwa vipi kulipia gharama za kuipamba serikali yao kwa kukodisha wataalamu wa media nchini na nje kama ilivyo kwa makala hii ya "Dr. Herman Louise Verhofstadt*
how European PR firms whitewash repressive regimes
PDFhttps://corporateeurope.org › default › files

13 Jan 2015 · rights are paying European public relations firms and lobby consultancies to whitewash their im- ages, dissidents and opponents, run their elections, hide their

c. c Pascal Mayalla muheza2007 Sophist Masanja Wyatt Mathewson Mansander Kazi Mkuu Ngokongosha
 
Kipaumbele hakiwezi kuwa kilimo kama vijana wanaojiita wasomi hawataki kwenda vijijini na kujikita kwenye kilimo. Woote wameng'ang'ania mijini na wako mitandaoni 24/7 wanasubiri ajira kwenye taasisi za uuma na binafsi. "WhiteColar job seekers"

Unajua hao vijana ni asilimia ngapi ya watanzania? Zaidi ya 60% ya watanzania bado ni peasants. Hao vijana unaowasema hata 5% ya peasants hawafiki. Kwa mwaka graduates hawafiki hata laki 1!! Halafu unataka kulinganisha na kundi la peasants ambao wapo si chini ya milioni 20?!?

Btw, kwa hiyo ujenzi wa reli na ununuzi wa ndege ndiyo kipaumbele kwa "white colar job seekers"??

Yaani kwanini pro-Magufuli ni weupe hivi?!?
 
Hii makala imeandikwa na mzee Mwanakijiji. Nina uhakika asilimia 99.

Mpaka mtu unajiuliza huu uongo wote faida yake nini?
Unajua muheza2007 ukitaka kujua taifa hili limelaaniwa angalia sifa anazopewa huyo anayeitwa By Dr. Herman Louise Verhofstadt hadi kufikia hatua ya kuponda ripoti ya The Economist. Mtu huyo hayupo, makala imeandikwa na Mtanzania kwenye blogspot ya mtaani isiyo na hadhi wala sifa inayoitwa africaanalysis.blogspot.co.uk

Kwa lugha iliyotumika tu moja kwa moja utajua ni Mtanzania aliyeandika makala hiyo. Wanaoendesha hiyo blogspot hata hawajulikani tofauti na The Economist, jarida linaloheshimika duniani na ambalo wamiliki wake wanajulikana. Kingine cha ajabu ni hata Google search haitambui uwepo wa africaanalysis.blogsport.co.uk

Kama mods wa JF wangeweza kutusaidia sana katika hili kwa kuwaumbua hao watu wanaotumia hila kuwadanganya Watanzania. Website ambayo inakaribia hii na ambayo inatambulika kwa search engines kama Google, Yahoo, Bing, Ask, AOL Search, AltaVista, FAST, Gigablast, Netscape Search ni newafricaanalysis.co.uk
 
Outsourcing Diplomacy to public relations firms, lobbyists, and front groups

Repressive regimes outsourcing their diplomacy to public relations firms, lobbyists and front groups is increasingly big business in Europe.

This little-examined area of work involves lobbyists laundering the reputations of dictators, seeking lucrative trade and investment deals,
pushing back against sanctions, smearing dissidents and opponents, and electioneering.

Yet whether pressuring the EU institutions or their member-states, these lobbyists are often working
below the radar. In contrast the US has strict reporting requirements for representatives of foreign agents.

This kind of activity must come under better regulation along ethical guidelines and democratic scrutiny via a mandatory EU Transparency Register for lobbyists, as per the report’s recommendations.

The report contains 18 case studies of PR firms and lobbying associations based in Europe working for repres...
Source:
Http://corporateeuro.org how European PR firms whitewash repressive regimes
 
Spoiler alert!!!!!Mzungu keshakula hela ya CCM...

Tunaelewa..hahahhaaa....kalipwa madafu mbwa mmoja wa kizungu nae abweke...

Eti "has worked with Poor Communities for four years now" ,halafu una audacity ya kutuletea huu upupu?

GTFOHMF!
Ficha aibu zako
 
Uonage aibu wewe badala ya kujidhalilisha kiasi hiki ili kujikomba upate teuzi. Huyo mzungu kaandika upuuzi na pumba tupu nawe unajua hivyo lakini umeamua kujitoa ufahamu kabisa. Maaskofu wa Kikatoliki wanajua vizuri sana kinachoendelea nchini kuliko huyo mamluki aliyenunuliwa na genge la wahuni na wauaji wa MACCM ili ampambe dhalimu DU na muuaji. ACHA UNAFIKI!!

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Mkuu Ngokongosha, asante kwa bandiko hili. Hiki kinachofanywa na mwandishi huyu, ndicho kitu kilipaswa kufanywa siku nyingi na media zetu.

Paskali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom