kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,291
- 1,321
Uzi usifutwe... Ipo siku wenye comment zao zakusifia humu watakuja kujutia...Kunawatu wamefumbwa macho hawaoni sababu ya rehema kidogo wanazopata kwa Jiwe.. Lakini siku Jiwe hili likimaliza kazi nao litaanza kuwaponda nawao, tutakuwa ktk mateso sawa tu...
Nao waungaji mkono wa udhalimu wa jiwe ndio watakuwa mstari wa mbele kudai haki pindi tu jiwe likiwageukia upande wao.. Kwasasa muna rehema mana jiwe bado linaponda upande wapili, itafika wakati jiwe halitataka Masada wenu ndipo litawaona kama kikwazo... Hapo ndipo mutayakumbuka makelele haya ya walio anza kupondwa na jiwe tangu sasa....