Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,413
Hawa economist nilipitia jarida leo nikajua ni upuuzi, kuna economist & Bloomberg , kwa mbali na BBC ,wanatumika sana kutoa makala ya kuichafua nchi yetu, kuna mtangazaji mmoja wa BBC nimesikia eti anasema maandamano yazidi kupamba moto Tanzania ,jamaa kakomaa na sauti yake kama kala makande kuongea vitu ambavyo havipo, yaani sisi watanazania/waafrica sijui tuna matatizo gani kichwani. Clinton alishindwa uchaguzi, mbona hatuoni rally za kila siku zikiendelea mji mmoja kwend mwingine? sana sana utamuona kwenye fund raising to mara moja , tujikite kwenye udhalishaji na tufanye siasa tukifuata sheria na taratibu,mazungumzo, tukipenda kusikia wazungu wa nje basi nchi yetu hii tutaipasua.
Mtalia sana.
Wanamshambulia uchwara kwa lipi labda?
Makinikia?Puliiiiizz
Acacia walishinda kitamboo sana.Hawana haja ya kuomba msaada Economics eti kupambana.
Acacia walishamshinda vibaya sana mahakamani,vibaya mno...
Semeni kuna fundamental problem na serikali ndio maana wanaongea,kungekua na mazuri wangesema...
Sababu ya makinikia sio yenyewe tu,kuna shida na hii serikali..Hilo mpo na denial nalo....
Sasa serikali nzima inapambana na mtu mdogo kama sisimizi anaitwa Nondo,mtoto mdogo,resources za nchi nzima zimewekwa kwake,ukiulizia why all these?Unashangaa majibu hakuna...Kuna tatizo kubwa very fundamental mnalo..Haya ya The Economics ni symptoms tu.