Mtalia sana.
Wanamshambulia uchwara kwa lipi labda?
Makinikia?Puliiiiizz
Acacia walishinda kitamboo sana.Hawana haja ya kuomba msaada Economics eti kupambana.
Acacia walishamshinda vibaya sana mahakamani,vibaya mno...
Semeni kuna fundamental problem na serikali ndio maana wanaongea,kungekua na mazuri wangesema...
Sababu ya makinikia sio yenyewe tu,kuna shida na hii serikali..Hilo mpo na denial nalo....
Sasa serikali nzima inapambana na mtu mdogo kama sisimizi anaitwa Nondo,mtoto mdogo,resources za nchi nzima zimewekwa kwake,ukiulizia why all these?Unashangaa majibu hakuna...Kuna tatizo kubwa very fundamental mnalo..Haya ya The Economics ni symptoms tu.