Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Nikuweke sawa mtoa mada, mkuu wa nchi alisema amekuwa akimuongezea muda kuwa balozi kila mara muda wake unapoisha.

Sikiliza hiyo clip ya Magufuli hapo juu, anasema yeye ndo aimteya kuwa balozi baada ya kumaliza ubunge wake, kitu ambacho siyo kweli.

inaelekea unatamani kweli asingetupiga fiksi, lakini keshatupiga fiksi kali katika hilo na sisi wananchi hatutaki kudanganywadanganywa, tunataka facts
 
Tarehe ya uchaguzi imebadilika?
 
Licha ya kumteua pia amekuwa akimuongezea muda wa kuendelea kuwa balozi huko USA. Nalo pia mtoa post unapingana nalo?

Ivi Magu adanganye kuhusu ubalozi wa Masilingi akiwa anatafuta nn?

Nimegundua haters wa JF walipenda sana JPM apate upinzani BUKOBA ktk kampeni zake cha ajabu Wazirankende wame show love ya kupitiliza kwa mgombea JPM. Watoto wakienda kampeni za Lissu wanakuwa maarufu lkn watoto haohao ktk kampeni kumlaki JPM Bukoba wanakuwa wanatumika. My friends opp politicians jiangalieni na hoja zenu kwetu. Kimsingi huwa mnakosa strong points to stand on. Inawaondolea credibility kwa jamii ya waelewa wa mambo na kuwaona nanyie ni walewale na tena hamna agenda zenye mashiko zaidi ya kuwa haters tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Kuandika hujui, maelezo yamechanganyana. Rudi memkwa kwanza.
 
Labda Rais akitoka madarakani na mabalozi nao wanatoka ubalozini, hiyo ni kulingana na uelewa finyu wa Meko kwenye eneo zima la Uraia na maadili.
 

Magufuli hakumteua Masilingi ubalozi baada ya Ubunge wake, ni Kikwete ndiye aliyemteua Masilingi kuwa balozi huko Nertherands mwaka 2013 na baadae Marekani mwaka 2015 mwezi August wakati huo Magufuli akiwa ni waziri wa kawaida tu katika serikali ya Kikwete
 
Oktoba 25 kuna nini mzee njaa ?
 
Na pale anapoongea uwongo ni huwa anatutania tu au?

Alisema hajawai kwenda nje ya nchi, alafu akaja kusema alishazurula saana huko nje.

Akasema maendeleo hayana chama, baadae akasema tusipochagua madiwani na wabunge wa CCM hatoleta maendeleo kwenye upinzani.

Kaka yangu Paskali, usidhani nimesahau siku aliyokuita NJAA kwenye ule mkutano, nilikuwepo na nilisikia uchungu kwa kuwa uliuliza swali la msingi.

Paskali, ikatokea siku Paskali huyu wa leo akakutana na Paskali yule wa kipindi kile, watapigana sana kwa sababu mmoja atamwambia mwenzie AMEMSALITI.
 
Saizi Masilingi yupo USA kwa approval ya nani? Sikiliza hyo clip vzr usikae kwenye sentesi moja. Afu usilazimishe Magufuli awe na matamshi/mpangilio wa maneno uupendao wewe. La msingi pata maana ya jumla ya Maelezo yake ndio ulete kwa jamii.

Kwa nn mnapenda kudonoa ka punje ka chuya kwenye gunia la mchele na kufanya ndio sifa ya mchele wote. Wewe huna tongue sleepary?.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…