Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
Muone huruma Meko anatafuta sympathy from the audience.
Kama huelewi taratibu za uteuzi ni bora ukakaa kimya!
ok magu aliteliliwa yeye hakumteua chekeleeni basi!!
unauwakika na unayo tapika hapa?Mzee wenu aache kusema uongo, ni aibu
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, raisi Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa balozi Marekani baada ya ubunge wake huko Muleba.
Ukweki ni kwamba Masilingi aliteuliwa na rais Kikwete kuwa Balozi wa Marekani mwezi AUGUST 2015, wakati huo Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
TUNATAKA VIONGOZI WASEMA KWELI
Kama huelewi taratibu za uteuzi ni bora ukakaa kimya!
Pascal unweza kuthbtisha magu n muwaz kwa kufcha Atcl kwny ofis yke manunuz ya ndge htujui hta bei 1.5T je usshau kagera altafuna ela japo jna wmemzomea iv nyie mnaosemga ameshushwa hua mnfkria kitumia nn mbn hua swaelew tangu aingie maish ymekua magumu(Kuna mtu atasema fanya Kaz hta hao matajir wanalia Hali mbaya hkuna ambae hfnyi kazi) kwaio Pascal toka usngzin huyu n mwizi tu hna loloteMkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tubaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteus Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wen zangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tubaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteus Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wen zangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
alimdanganya nani? na alimdanganya nini?Kwa nini adanganye ili iweje ?? Kwa manufaa ya nani huyo uongo? Hatutaki viongozi waongo
Huko kwenu mtapiga kura October, 25?Mkuu Missile of the Nation, kwanza Asante kwa bandiko lako la facts checking na asante kutuwekea video clip ya Magufuli alichosema Muleba, Magufuli is very right.
Amesema Masilingi aliteuliwa balozi baada ya kumpisha jimbo Mama Tubaijuka, hata kama mwanzo aliteuliwa na JK, baada ya Serikali mpya kuingia madarakani, rais mpya anawateua upya mabalozi wote, ma RC wote na ma DC wote, hata kama mwanzo waliteuliwa na mtangulizi wake, re appointment amefanya yeye, hivyo he is right Magufuli amemteus Masilingi.
Moja ya sifa za ziada za Magufuli ni Mkweli Daima!.
Nawashauri Watanzania wen zangu, Wazalendo wa kweli wanaolitakia mema taifa hili, October 25 tusifanye malisa!.
P
masuala kama haya kwa ngazi hiyo ya uongozi hakuna huruma.Muone huruma Meko anatafuta sympathy from the audience.