Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
GT acha utani,hahaha mbona sijaona php yake?
GT acha utani,hahaha mbona sijaona php yake?
JK anauwezo wa kuwa na wazo la kujiunga na Face book lakini I know kuwa Salva hajui what Face book isLabda GT anajaribu kumtafuta JK kwenye FB.
Kama JK akiwa na wazo la kujiunga na FB basi atakuwa ameonesha generocity ya hali ya juu.
JK anauwezo wa kuwa na wazo la kujiunga na Face book lakini I know kuwa Salva hajui what Face book is
nipe 1 hour nitakujibu kuhusu hii website mpya ya foreign
hii thread ni ujinga tu ! nendeni myspace halafu ndio mtaona kila kitu kuanzia page za nyerere, hadi za bush na zinakuwa updated kila siku, sasa huyo nyerere nae ana-update vipi myspace page yake ili hali ndio hivyo tena ?
mjadala ufungwe !
http://www.facebook.com/Kikwete#!/Kikwete?v=wall
Suggest to friends
President of Tanzania
Information
Country:
Basic Info
Country:TanzaniaCurrent office
Office:President
Party:CCM
Profile_name: Jakaya Kikwete
Become a fan
Detailed info
Website:http://www.jakayakikwete.com
Gender:MaleRelationship status:Married to
Salma Kikwete
Birthday:07 October 1950
Hometown:Bagamoyo
Political views:Moderate
Interests:Basketball, reading, spending time with friends
Education information
University:
Secondary School: