Face to face hug VS a hug from behind

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
8,341
11,227
Hugs.jpg

Kati ya hizo hug mbili, ipi unaikubali na kwa sababu gani?? Ipi inafaa kwa wakati gani??
 
picha zajieleza wazi boss...ya kwanza ya wapenzi...ya pili malizia
 
picha zajieleza wazi boss...ya kwanza ya wapenzi...ya pili malizia

Inategemea ndugu, type number mbili inahusika pia katika mapenzi, ingawa inaweza ikatumika kwa watu wasio wapenzi.. Hiyo number 1 is reserved kwa wapenzi tu.
 
Napenda saana hugs... Lol. Nina haya...

The best hug (kwangu) ni from behind... Sababu ni;

  1. It is more genuine kuliko hug ya mbele at least that is what I believe.
  2. Mara nyingi waweza tell intensity ya feelings za mwenzio.
  3. Ni moja ya zile small things ambazo huchangia kuimarisha uhusiano... Mara nyingi in a form of surprise sababu in most cases it happens when you least expect it.
  4. It makes me feel secure na napenda zaidi sabb iko so spontaneous.

Ya mbele wakati ambao inafaa... (take note kwa wapenzi tu)

  1. Ndio mmeonana bada ya muda fulani (masaa, siku, months ama years).
  2. Wakati wa kuagana hasa kama itachukua mda mrefu kuonana tena.
  3. Kila mmoja wenu ama wote mjisikiapo ku 'hug'.

Ya nyuma wakati ambao inafaa...

  1. Ukimkuta mwenzio katika position ambayo waweza m'hug kwa nyuma na mazingira yanaruhusu.
  2. Uki observe mwenzio yupo katika hali ambayo inamfanya aonekana yupo down, in a way ukim hug bila yeye kutarajia huku ukimnong'oneza lolote lile ambalo anapenda kusikia atajisikia amani.
  3. Wakati wowote ambapo utajisikia kufanya hivo na mazingira ya ruhusu.
  4. Ukijisikia kum' hug mwenzio but uka observe ako busy, maybe ana nyosha/osha vyombo na the like.
 
Si inategemea. Yani mume aje kukupokea airport afu unategemea akupe hug ya nyuma???

Au akukute unapika jikoni akupe hug ya mbele???

Zote zina mahala pake.

Ila sijapenda pozi la dada wa hug ya mbele. Mimi napenda lala kifuani hati sio unakodoa upande wa pili. Ila huyo mume awe mrefu.
 
Si inategemea. Yani mume aje kukupokea airport afu unategemea akupe hug ya nyuma???

Au akukute unapika jikoni akupe hug ya mbele???

Zote zina mahala pake.

Hapo kwenye red, nime-imagine mme anapokea mkewe airport halafu anam-hug from behind. Nimebaki nacheka tu.
 
Swali la kuuliza kwenye hug ya nyuma hivi ni lazima mwanamke awe mbele na mwanaume awe nyuma yake and not vice versa?
 
Back
Top Bottom