snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
pacha from behind ndo mpango mzima af ukute nywele inanyanyuliwa kwa juu kidgo itafutwe shingo ipigwe kiss mikono ikiwa kiunoni!dah!pacha utanfanya nifungue mlango kimgongo mgongo leo sasa ah!
pacha from behind ndo mpango mzima af ukute nywele inanyanyuliwa kwa juu kidgo itafutwe shingo ipigwe kiss mikono ikiwa kiunoni!dah!pacha utanfanya nifungue mlango kimgongo mgongo leo sasa ah!
Napenda anihug from behind, tena iwe ina ka-extra-force kidogo, kama kuniminya zaidi kidogo!
Iwe from behind au face to face haimati!!!!! Kinachomatter nani anakuhug!!! KAMA NI ZOMBIII HATA IWE FROM THE TOP BARIDIIIIII!!!!! Ila kama ndo THE ONE hata mkono watosha KUBANA MIGUUU!!!!! Ni mtazamo tu, msijenge hoja!!!!
mizombi unayo mingapi?
kumbe mizombi ina hug na kupapasa wowowo?
kumbe basi inaonja onja hata kama kula bado lol
mizombi unayo mingapi?
kumbe mizombi ina hug na kupapasa wowowo?
kumbe basi inaonja onja hata kama kula bado lol
Mizombii yangu ilifaidi! Japo sio kidude ila far more better things. Nilikuwa naijali! Birthday lazima niipelekee MIJIKEKI+SHAMPAIGNE(JAPO CHAMDOR BUKU 8), Hapo bado sijaipelekea zawadi, na kesho yake naipeleka lunch. Ikiumwa naipeleka pharmacy, naikumbusha kunywa dawa, ikiwa na interview au safari naiamsha asubuhi, acha kuipeleka shopping na kuisaidia kuchagua(inajilipia), bado kuishauri kila kitu, bado siaifanyia budget planning. Yaani ndo maana iliniganda! BT THEY PAID DEARLY FOR MY UNDIVIDED LOYALITY!!! HAHAAAAA! Ukila na kipofu usimshike mkono! sasa huoni kama ilifaidi?
Nikuibie siri? It feels good to feel the thing bulging while huggin from behind! Kazana kuimarisha ndoa buddy!
pacha from behind ndo mpango mzima af ukute nywele inanyanyuliwa kwa juu kidgo itafutwe shingo ipigwe kiss mikono ikiwa kiunoni!dah!pacha utanfanya nifungue mlango kimgongo mgongo leo sasa ah!
Napenda saana hugs... Lol. Nina haya...
The best hug (kwangu) ni from behind... Sababu ni;
- It is more genuine kuliko hug ya mbele at least that is what I believe.
- Mara nyingi waweza tell intensity ya feelings za mwenzio.
- Ni moja ya zile small things ambazo huchangia kuimarisha uhusiano... Mara nyingi in a form of surprise sababu in most cases it happens when you least expect it.
- It makes me feel secure na napenda zaidi sabb iko so spontaneous.
Ya mbele wakati ambao inafaa... (take note kwa wapenzi tu)
- Ndio mmeonana bada ya muda fulani (masaa, siku, months ama years).
- Wakati wa kuagana hasa kama itachukua mda mrefu kuonana tena.
- Kila mmoja wenu ama wote mjisikiapo ku 'hug'.
Ya nyuma wakati ambao inafaa...
- Ukimkuta mwenzio katika position ambayo waweza m'hug kwa nyuma na mazingira yanaruhusu.
- Uki observe mwenzio yupo katika hali ambayo inamfanya aonekana yupo down, in a way ukim hug bila yeye kutarajia huku ukimnong'oneza lolote lile ambalo anapenda kusikia atajisikia amani.
- Wakati wowote ambapo utajisikia kufanya hivo na mazingira ya ruhusu.
- Ukijisikia kum' hug mwenzio but uka observe ako busy, maybe ana nyosha/osha vyombo na the like.