G.MWAKASEGE
Senior Member
- Jun 29, 2007
- 153
- 15
Hii ndio Tanzania ya Leo!!!!!!!!!??????????
Jamani wale wenye nia ya kurekodi huu muziki waendelee maana soon kuna albums mpya zinakuja
Jamani wale wenye nia ya kurekodi huu muziki waendelee maana soon kuna albums mpya zinakuja
Jamani PCCB wanaweza kutuambia ule upuuzi wao wa kuisafisha RDC waliupata wapi? Sasa hii si aibu kubwa sana kwa huyu bwana Hosea na timu yake? Kweli hii nchi kazi bado ipo! Kila mahali pameoza. I wish kama kunauwezekano Invicible tupatie na hiyo ripoti ya PCCB pia tuione.
hivi mnadhani huu mziki ukifika kwa wananchi kitimutimu chake kitakuwaje?
Aaaah namuyamba wee, waswahili wanasema "ukishangaa ya musa utayaona ya firauni". hao wote ni watoto na wajukuu wa ufisadi aliotuwachia mkuu nyerere. Katuwacha hohe hahe, ki-uchumi, ki-elimu, ki-maadili. Kwa hiyo usishangae, ccm ilianzishwa na huyo mzee na ndio mpaka leo hiyo hiyo na watu ndio haohao. jee ulishaona maendleo toka wakati wa nyerere mpaka leo? mimi sijayaona. Elimu duni, Maji mpaka leo huwezi kunywa ya bombani, umeme asilimia kumi ya watanzania (kwa hesabu zao) kwa zangu nadhani ni asilimia tano tuu. Au system huijuwi ni nini?alafu tunaambiwa njia pekee ya kuokoa shirika ni kuongeza gharama kwa mlaji, hivi hawa EWURA hawakuyaona haya yaliyopo kwenye hii ripoti? kumbe hata EWURA nao ni mafisadi kama waliamua kutupandishia gharama za maisha badala ya kuishinikiza Tanesco ijifanyi overhaul, hatari tupu.