Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,109
Points
2,000

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,109 2,000
Mkuu haya ndo mambo..tuyaanike hapa, mwwaka huu hawa viongozi wetu watatushukuru saaana hapa JF maana tunawapa darasa la bure on what the term "transparency" really mean!

Asante sana invisible.
 

Mgumu

Senior Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
112
Points
0

Mgumu

Senior Member
Joined Nov 3, 2006
112 0
Wanasema ni 'mwaka wa shetani'. Mambo mengi yametokea hii 2007. Kuja kuisha tutakuwa na orodha ndefu sana ya matukio ya kusikitisha, kushangaza, kutisha na hata kutukumbusha kuwa 2007 ulikuwa mwaka wa kipekee.

Bravo JF
Ama kweli mwaka huu shetani na ujanja wake wote anaumbuliwa hadharani
 

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
5,458
Points
2,000

Bill

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
5,458 2,000
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, Mungu anampango wa kuokoa watu wake waliokata tamaa. Hawa jamaa watavuna walichukipanda. Hawawezi kumchezea Mungu, Haiwezekani mtu anakufa hivihivi kwa kukosa dawa hospitalini then wengine wanakula na kuacha vikioza.
 

Forum statistics

Threads 1,381,534
Members 526,131
Posts 33,803,986
Top