mwanaharakati_msemahovyo
Member
- Oct 5, 2007
- 6
- 0
We've 64hrs for this stuff to be here. So don't miss your copy.
It's a blue Monday buddies!
Good Work Man!!
Hawa Mafisadi wamefanya kila kitu siri!!Hakuna siri ya watu wawili.
Mwaka huu ni wa watanzania kufahamu upuuzi na uhuni unaofanywa na viongozi wao kwa manufaa yao binafsi.
Leo ninamsikia meghji akinena kuwa alipigwa chenga la macho na Don Balali kuhusu malipo ya kagoda co.Kama alilifahamu hilo tokea Slaa kuja public na ufisadi huu BOT;kwanini alithubutu kutoa kauli mbalimbali kwa wananchi zenye utata na wakati fulani zikiwa zinamtetea Don Balali?Leo anatuthibitiashia kuwa aliudanganya umma wa watanzania!!kwa misingi hiyo anafanya nini katika kiti cha uwaziri wa fedha??Kwanini asijiuzulu??
Swali kwa President JK?
Kwanini usimtimue huyu mama??Au na wewe ulihusika?Sisi tuna majibu yetu.
Huyu mama kama alipigwa chenga la macho kwenye trnsaction yenye kusisha mabilioni ya kodi za wananchi!!I am questioning her credibility to hold that position!!!Bila shaka kuna chenga nyingi za macho alizopigwa akiwa waziri wa utalii!!