Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,658
Dak. 60 Simba 2-1 MCC.
shukran kwa update ..
Dak. 60 Simba 2-1 MCC.
Wewe unataka wasawazishe wakati sisi tunataka tuchukue mpira wa pili.
subiri apige nne na leo utajua what i mean!
Wewe unataka wasawazishe wakati sisi tunataka tuchukue mpira wa pili.
huyu ni proven. Ana golden boot ya CECAFAhuyo tambwe wenu mnavyomkuza! hata sunzu alikuwa hivyo hivyo!
Simba 2-2 MCC.
Tiyariiiiiii badooooooooooo?
Jamaa ni wazuri aisee.Simba 2-2 MCC.
Tiyariiiiiii badooooooooooo?
Jamaa ni wazuri aisee.
Dak. 70 Simba 2-2 MCC.
Hawa mabeki mbona wavivu hivyo.
Maumivu ya kichwa huanza pole pole.
Simba 2-2 MCC.