Nimekupata M4C over!!mandieta unanipata over ..! updates nyau kadraw na Mbeya city kwa mbilimbili over and out...!!!
Mbeya City Council Fc......Kiboko ya vigogo....
Inanikumbusha enzi za Reli ya Moro......
Za taifa Mkuu!
Nimekupata M4C over!!
kuna wenzio walisema walifanyiwa fujo sijui hawa watakuja na lipi..
Umeshazipata nadhani,,,,,mimi nasubiri za kesho.
Weye ulifikiri hawa ni Mgambo wa kuwapiga 6. Wewe umebanwa nyumbani kwako, siye tulibanwa ugenini, ukienda kule Mbeya utapigwa bao. Ukiona mwenzako kanyolewa, wewe tia maji! Ninyi mlijisahau mkapuuzia usemi huu.
Mkuu ndetichia Inamaana wewe umejivua 'gamba'jumla jumla mpaka moyoni au bado unasikilizia kwa kutumia ile style ya 'CHAGULAGA MAYO'?!kuna wenzio walisema walifanyiwa fujo sijui hawa watakuja na lipi..
kama kesho ukiwa bize sana, matokeo YANGA 2, AZAM 0.
Cynic unapigwa mbili nyumbani? Bora anayepigwa moja ugenini... Kama ungekuwa mtoano mngalikuwa mshatoka.
Huyo Mbeya City wamemchokoza wenyewe sasa ... wafunga milango.
Mkuu ndetichia Inamaana wewe umejivua 'gamba'jumla jumla mpaka moyoni au bado unasikilizia kwa kutumia ile style ya 'CHAGULAGA MAYO'?!
Maana Azam ana kila dalili ya kushuka daraja.