Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Mashabiki wa nyau fc walichekelea sana matokeo ya Mbeya City 1-1 Young Africa. Sasa leo wamechezeshwa kinyambala katika uwanja wao wa nyumbani.
Weekend hii itakuwa tulivu sana kwa matokeo haya ya uwanja wa Taifa.
Hakiiiiiiiiiiiiii Katavi!

usihofu mkuu na kesho tunamaliza kazi kwa yeboyebo ili mji utulie mkuu mwita..
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Simbaaaaaaa,kesho tunapiga wana ramba ramba ili twende sawa
 
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wenyeji Mgambo Shooting Stars walitoka sare ya 1-1 na Rhino Rangers ya Tabora, Prisons ilitoka 1-1 na Mtibwa Sugar Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya, wakati Kagera Sugar ilishinda 1-0 dhidi ya Ashanti United ya Dar es Salaam Uwanja wa Kaitaba.

Hawa Ashanti watashuka daraja wasipokuwa makini, maana huu mwenendo wao unatishia amani.
 
hahahaha mchuano wa timu mbili zikitoa draw nani atoke sasa? na kama ni wa timu tatu basi usubiri na sisi tucheze na hiyo timu nyingine ndo utajua anayetoka nani, kati ya Mbeya City, Yanga au Simba.

Wamepata bao 2 ugenini wangesonga mbele kwa away goal advantage. Yanga angesonga mbele pia kwa kupata bao 1 ugenini. Simba kafanya vibaya kuliko Yanga kwa timu hii ya Mbeya.
 
Waliotubana si umeona kuwa wana kitu chenye ncha kali! Hao Azam ni wetu, kesho karibuni uwanjani muone tunavyotoa onyo kali kwa wana lambalamba hao.

Mkuu usijiami sana hao jamaa walikuwa na wachezaji wao tegemeo watatu walikuwa majeruhi na wote wamepona hivyo kama wako fiti kocha atakuwa na wigo mpana wa kuchagua wachezaji na kufanya kikosi kiwe imara zaidi, watatu hao ni Brian Umony, Humphrey Mieno na John Bocco.
 
usihofu mkuu na kesho tunamaliza kazi kwa yeboyebo ili mji utulie mkuu mwita..

Tushakuzoea wewe dogo...

Huwa unachoooonga.....Lakini siku ya mechi unaingia mitini.....

Lakini kumbuka......Siku zote mkeo ni mkeo tu.....Mke mkeo tu.....
 
Katavi nipe matokeo Taifa nilikuwa busy Jangwani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usijiami sana hao jamaa walikuwa na wachezaji wao tegemeo watatu walikuwa majeruhi na wote wamepona hivyo kama wako fiti kocha atakuwa na wigo mpana wa kuchagua wachezaji na kufanya kikosi kiwe imara zaidi, watatu hao ni Brian Umony, Humphrey Mieno na John Bocco.

Kumbe ni hao tu, wakipenda wamwingize S. S. Bakhressa mwenyewe, kipigo kiko pale pale.
 
Mkuu usijiami sana hao jamaa walikuwa na wachezaji wao tegemeo watatu walikuwa majeruhi na wote wamepona hivyo kama wako fiti kocha atakuwa na wigo mpana wa kuchagua wachezaji na kufanya kikosi kiwe imara zaidi, watatu hao ni Brian Umony, Humphrey Mieno na John Bocco.

Sasa John Bocco naye ni mchezaji tishio? Hahaha kesho tunawalambisha tena lambalamba zenu hadi mshike adabu!
 
Back
Top Bottom