Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Updatessssssssss plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!

Nzona Hamisi Tambwe anakwenda kwenye bench anaingia ISMAIL ADEN RAGE.
 
Full Time: Simba 2-2 MCC.

Tumeshindwa kuwalipia watani wetu basi itabidi mjilipie wenyewe, Hongereni Mbeya City kwa kutoa draw ugenini lakini inabidi mkaze kwa timu zote maana kama mtakaza kwa timu kubwa tu kuna timu kama Kagera Sugar, Coastal, Rhino Rangers na zingine za Jeshi zitawashusha daraja. msiwe kama Toto alichukua pointi nne kwetu na akashuka daraja au kama Mtbwa alichukua pointi kumi kutoka kwa Simba na Yanga lakini bado hata nafasi ya nne ilimshinda.
 
Back
Top Bottom