ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
week end nzuriiiiiiiiiii
Sasa John Bocco naye ni mchezaji tishio? Hahaha kesho tunawalambisha tena lambalamba zenu hadi mshike adabu!
leo tutamlipia mtani wetu, ukiona kijana anataka kumuadhiri mzee mwenzako inabidi uingilie kati kumtetea mzee mwenzako, kwa hiyo leo tunajipanga kumlipia mzee mwenzetu, mbeya city lazima wajue tofauti ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza, kwa kifupi leo ndo kipimo chao kwenye ligi kuu, wakipona leo basi watang'aa kama dhahabu maana simba hii ni tanuru tosha.
Mimi nilikuwa nawatahadharisha tu, hata kesho sina upande nitakuwa mwangalizi kama wale wa jamaa wa Ulaya vile wanavyokuja kuangalia uchaguzi huku Afrika na kusema 'the election was neither free nor fair' wapinzani wakishagalagazwa hasa kule kwa Mugabe, na mimi kesho mkishinda au Azam wakishinda nitasema 'the referee was not fair to his own decision, because Yanga wa denied a clear penalty so the Jangwani could have equalised' hapo Azam wameshinda na nyie mkishinda nitasema 'the referee allowed a goal for Yanga while it was a clear offside, because Kavumbagu was offside when Niyonzima gave a through pass' ila mkitoa draw maoni yangu yatakuwa, 'the referee did very good job, he was very fair and I think he could be the best referee ever in Tanzania.
Waliotubana si umeona kuwa wana kitu chenye ncha kali! Hao Azam ni wetu, kesho karibuni uwanjani muone tunavyotoa onyo kali kwa wana lambalamba hao.
Mkuu hakuna haja ya kufuta kauli maana niliweka angalizo toka mwanzo kwamba wakipona watang'aa kama dhahabu na kweli jina Mbeya City linazidi kung'aa.futa hii kauli.
Inawezekana kabisa break zilizotatuliwa na Libolo bado hazijarudishiwa vizuri, Simba ***** uharo mtupu!
Nje ya mada......
Dakika ya 75
Liverpool 0-1 Southampton
Kama mpira ni maneno basi leo Simba angeshinda goli 7......
Mpira ni dakika 90 uwanjani bana.....
Hii timu inaitwa MCC au CCM?
Kama mpira ni maneno basi leo Simba angeshinda goli 7......
Mpira ni dakika 90 uwanjani bana.....
Kaeni mbali wana Yanga, kesho Azam ina taka kufanya mauaji ya kimbari.