Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Leo Kipute kimeisha kwa droo. Kesho nawatakia ushindi mnene Azam Cola.
 
Mbeya City Council Fc......Kiboko ya vigogo....

Inanikumbusha enzi za Reli ya Moro......
 
Mwana Yanga Makoye Matale amekuwa bega kwa bega kuwaletea matokeo ya mchezo kutoka uwanjani. Mbeya City wameomba radhi kwa Yanga, nao wamesamehewa kwa kazi yao nzuri dhidi ya Simba. Nawatakia jioni tulivu wanamichezo wote.
 
Leo Kipute kimeisha kwa droo. Kesho nawatakia ushindi mnene Azam Cola.

Kesho ni kuomba draw tu, hatutaki timu yoyote ishinde kati ya hizo hata hawa wanajeshi wa Ruvu wanatakiwa wapate vipigo kesho.
 
Mkuu sisi kama nyie, mkidraw visingizio vingi naona sasa mtaamini kwamba mlidraw kihalali maana kuanzia Manungu hawa madogo hawataki kuachia pointi zote, wakishindwa kuchukua tatu wanasema hata moja inatosha.

mwanangu hawa jamaa wametumwa sijui wakitua chamazi itakuwaje kweli mbeya city inakitu inakitafuta aisee...
 
Yebo mnahasira sana. Kisa mlibanwa mechi zote mbili nini? Poleni, bado wanaume tupo juu yenu!

Weye ulifikiri hawa ni Mgambo wa kuwapiga 6. Wewe umebanwa nyumbani kwako, siye tulibanwa ugenini, ukienda kule Mbeya utapigwa bao. Ukiona mwenzako kanyolewa, wewe tia maji! Ninyi mlijisahau mkapuuzia usemi huu.
 
Mkuu sisi kama nyie,mkidraw visingizio vingi naona sasa mtaamini kwamba mlidraw kihalali maana kuanzia Manungu hawa madogo hawataki kuachia pointi zote, wakishindwa kuchukua tatu wanasema hata moja inatosha.
Mkuu Masuke humo kwenye red pamenivutia.
Sina swali!!
kesho usikose kuja hapa kushuhudia mabingwa watetezi walimba icrem!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe yanga ilikuwa halali yao kutoka sare kule sokoine.....
 
Back
Top Bottom