Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

Mbeya City wako ngangari ...2-2 kiboko ya vigogo.
 
enheee imekuwaje mkuu..

Mkuu Chombo uwezo wake wa kuhold mipira umepungua, yuko slow halafu hawezi kuhold mpira vizuri sasa mipira inakuwa haikai sana mbele na hiyo inamchosha Mkude na mipira inakuwa inaenda sana kwenye goli letu, lakini baada ya kuingia Singano itasaidia lakini alitakiwa aingie yeye badala ya Chombo, lakini Kocha ndo anayejua zaidi.
 
Back
Top Bottom