ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Zitto athibitishe kuwa yey c mamluk ndan ya cdm akishndwa aseme tumfanye nn kama mbadala wake
Hii inanikumbusha Raisi msatafu Mkapa alivyo kuwa anatembelea shule yetu, Tuliambiwa tuandae mswali yaende kwa Head Master ayachuje, then Head Master Apeleke kwa Mkuu wa Wilaya Achuje, Mkuu wa Wilaya nae ayapeleke kwa wakubwa wake waya chuje,
Alitakiwa Aulizwe kila aina ya Swali na Ni vizuri kama yeye angekuwepo Online mwenyewe, kuulizwa kila aina ya Swali,
Nimejua kupitia kazi ninayoifanya,viongozi wote wa kitaifa wagebill yao ipo ofisi ya rais utumishi!
Zitto athibitishe kuwa yey c mamluk ndan ya cdm akishndwa aseme tumfanye nn kama mbadala wake
sawa kabisa,hizi taarifa ni za umma kila mtu ana haki ya kuzipata.ingawa wakati mwingine huwa kunakuwa na uzembe,kwa mfano, vitabu vya bajeti ya taifa ni haki ya kila mtanzania kujua kilichoandikwa na kupata nakala,lakini ukienda kuomba nakala wizara ya fedha watakwambia tunaupungufu wa nakala,haya ndiyo matatizo yetu sisi watanzania!kwa hiyo compensations zao ni public information kiasi tu cha raia yeyote kuweza kwenda na kwenye reception desk na kuulizia na kupewa bila tatizo lolote lile?
sawa kabisa,hizi taarifa ni za umma kila mtu ana haki ya kuzipata.ingawa wakati mwingine huwa kunakuwa na uzembe,kwa mfano, vitabu vya bajeti ya taifa ni haki ya kila mtanzania kujua kilichoandikwa na kupata nakala,lakini ukienda kuomba nakala wizara ya fedha watakwambia tunaupungufu wa nakala,haya ndiyo matatizo yetu sisi watanzania!
Ashadii mwanangu usihuzunike. Unashangaa ni vipi kuficha pesa ya umma Uswisi inaweka kuwa personal!!! Yes, ni personal kwa kuwa anayefanya hivyo hata kama anaficha pesa ya umma, anaamini ni yake kutokana na ujanja wake. Kwake neno public does not exist. Hivyo, it becomes difficult--very difficult-- to draw the line between public and personal. Again, kuhusiana na "Zitto wako" my apology. I remorsely wish to say that if it had caused any heck forgive me. Hata hivyo umejifunza jinsi ya kuwasilisha. Zitto has to defed himself and freedom of speach has to be respected to letters. Kwa leo acha niishie hapa.
Ashadii - "maisha binafsi" ndiyo "msingi" wa "maisha ya kiongozi mwadilifu"...! Binadamu awaye yote anapojaribu "kuficha masiha yake binafsi" fahamu fika kuwa huyo binadamu anayo mapungufu makubwa sana "ki-uongozi"...!
Nafikiri (Sina uhakika haya ni mawazo yangu tu) wanaamini kila mwananchi anajua kupitia mwakilishi (Mbunge),kwa sababu mbunge ana haki ya ku 'access' kila taarifa ya serikali anayofikiri ni muhimu kwake na wananchi wake kuifahamu.Kama ni taarifa za umma kwa nini huwa hazitangazwi walau mara moja kwa mwaka?
Hatakuwa na Jipya zaid ya tunayoyajua tayar.
Sana sana tutmie nafasi hii kutokummuliza tu maswali bali kumpa kwenda mbele zaid na kumshaur kama ifuatavyo
1. Ni kwa nini haonekani kwenye harakati za Kukijenga chama thru M4C
2. Ni kwanini anafanya urafiki na watu ambao wanawaza kila siku Njia za Kuingamiza CDM eg Mkwe.re
3. Kwanini anatoa kauli ambazo effects zake ni kuwagawa wana CDM eg Kutaka kugomea Urais,
4. Reffer Before 2010 alitangazaga kuwa hatagombea Ubunge tena 2010, lakini cha ajabu 2010 akagombea tena, nini kilimfanya kusaliti msimamo wake ule?
5 na mwisho ni lini hasa ataacha kutumiwa na CCM kukivuruga CDM??