Naona umetoa majibu mawili kwa mpigo yes na no. Ila nilivyokuelewa usahihi wa online dating kwako utakuwa yes baada ya kuangalia uelekeo wa hayo mahusiano yaliyoanzishwa.Siwez sema ndio au hapana kwasababu unaweza ukaaanzisha mausiano kweny mitandao na mtu ambae bdae ukafika nae mbali ki maendeleo na mkaoana na mkafanya maisha
2: naweza sema hapana kwa sababh hizi unaweza anzisha mahusiano kweny mitandao ukapata mtu ambae haelewek yan sio mkwel ni mchezeaji akakuteka akakulaghai ikafika atua mkaaachana na kutoleana maneno mabaya kweny mitandao
yakinishinda ivuga nakimbiaJibu banaa
Kwanza maswali Yanaanza Saa Ngap. ..??Khaaa naanzaje kujibu nasepa teh
Kwanza maswali Yanaanza Saa Ngap. ..??Khaaa naanzaje kujibu nasepa teh
Na ukikimbia ukimbilie Chumban kwanguyakinishinda ivuga nakimbia
Maswali yanaanza Saa Ngap....??Guys tupunguzeni comments zisizo za ulazima ili kunogesha kaangio.
Yes, coz waweza kujuana na mtu online kumbe akawa ni chaguo lako kutoka kwa Mungu. Mnaanza km utani lkn baadae hisia zinawaunganishaHeewaala, dunia siku hizi imejisogeza karibu saana...unaweza kufanya lolote kiganjani mwako na limojawapo ni hili la kufahamiana na watu au kuanzisha mahusiano mitandaoni.
Kwako hili suala la kuanzisha mahusiano mtandaoni ni sahihi? Yes/no. kwanini?
Karibu saana mamdogo ----
Nimekaribia
Sijawahi ila nina mifano kadhaa kupitia rafiki zanguNaona umetoa majibu mawili kwa mpigo yes na no. Ila nilivyokuelewa usahihi wa online dating kwako utakuwa yes baada ya kuangalia uelekeo wa hayo mahusiano iliyoanzisha.
Swali : kwako ulishawahi kuwa na mahusiano na mtu kupitia hii njia?
NimekuelewaHifadhi baada ya muda nitaruhusu bro na nyie kuuliza ila kama ni swali linalihitajika kwa sasa ni text pm.
NimekuelewaHifadhi baada ya muda nitaruhusu bro na nyie kuuliza ila kama ni swali linalihitajika kwa sasa ni text pm.
Asikuulize maswali makali.yakinishinda ivuga nakimbia
mda wa kusali umefika AmbieleKwanza maswali Yanaanza Saa Ngap. ..??
We ndio mamdogo?sijaelewa hapa bado...!!!!
Kumbe kuchangia bado[emoji15] , nalala bac ikiwa tyr Daby plz niamshe[emoji42]Hifadhi baada ya muda nitaruhusu bro na nyie kuuliza ila kama ni swali linalihitajika kwa sasa ni text pm.
mekumiss[emoji101]