EXCLUSIVE INTERVIEW!! Mada: Mapenzi na Pesa......


Kwahiyo Lara ni kila mwanamke?

Okay, suppose ni kweli, basi live with it or die; hayo malalamiko ya kila siku yanaboa. Au sijui unataka kujicomvice nini, maana ni wewe mwenyewe ushakuja na shuhuda za watu wenye kile ulichokiita real love.
 
Last edited by a moderator:

ndo maana kwny comment yangu mwisho hapo nimesema nasapoti
 

Hahaaaaa! You will be surprised The older the bigger the money money. Mi nina aunt yangu 50 mjane anachuna mabuzi hela za maana! Anawachuna hadi waheshimiwa, vibosile cold cash ya hatari. Sema cause umri umeenda hela Amani waspoil wanae tu kumake it up for their absent father.

Ukiwa older unapata wazee wenzio hawana stress ya maisha pesa imejaaa bank: umri umeenda mpango kusindikiza maisha.
 
Last edited by a moderator:

no kakaangu hapo unakosea
sio kila mwanamke
kuna ambao tunaamini ktk upendo na tumekuwa na watu ambao hawana kitu
bt ana vision na anabidii ya kutafuta
sio coz nimekupenda ndo ukae tu nakupiga chini
 
Last edited by a moderator:
Swali kwa lara 1

kwa kuchukua reference kwenye tukio la Mushi na Munisi
Je unachukua tahadhari gani?

Yaani umtie Mangi hasara ya 4000$ and no huduma akuache hivi hivi?
I'm a good judge of character, nikiona mtu abusive au pesa ya mawazo namshit tu.
 
Last edited by a moderator:
Pliz pliz pliz pliz! mjadala uendelee jamani mimi hapa full kucheka tu! lara 1,you are the genius and weird lady! nimependa huu mjadala sana tu!
 
Hahahaaaa.. nimefuatilia mjadala wote na kiukweli nimefurahi sana. At least here is one woman who actually ’gets it!’ big up lara1. But...!
Ushauri: Kama wewe ni an "average guy" kwenye mambo ya relationships (regardless of how rich u are), stay as far away from this type of women as u possibly can! This is no woman for an ordinary guy. Ogopa sana mwanamke anaeielewa vizuri psychology ya mwanaume! Hutamuweza. Utaumia. Utalia.Na hata ukijitutumua, in the end utagundua its not worth if for u. So keep off!! For ur own good.
Kwa Lara1: Never say never. I’d love to see the day u meet a smart guy.. just to see all ur principles, tricks, plans.. fly trough the window! Ntacheka sana..
 
I'm a good judge of character, nikiona mtu abusive au pesa ya mawazo namshit tu.

i have to end this lara's pathetic side of thinking that not only affects stupid young girls here ,,but affects their future lovin n caring..
.'lara u only need to grow up...umekua ktk mazingira ya bahati MBAYA,, umekiri mwenyewe kwamba YOUR KINSMEN ambao mnashare damu ndo wamepelekea wewe kuwaza hivyo na kuwa njaA na PESA...

STOP ATTRACTING THESE YOUNG GIRLS TO YOUR ILL THINKIN, PESA WILL NEVER GUARANTEE U HAPPINES,, SORY TO THAT PUSS*Y OF UR,,THAT IS BEING SPENT FOR MONEY,UNLUCKY THOSE WALLS CANT SPEAK...
NAKUSHAURI TU KWAMBA PESAA HAITA HALALISHA FURAHA KTK MAISHA YAKO.. WAKATI MWINGNE SIAMIN KAMA U LIVE UR WORDS... ITS A CURSE IF U LIVE THEM NA UNAHTAJI UPONYAJI KIROHO...
OVER.
 
Mkuu data, u r completely missing the point here. Way i see it, the problem is not with the girls. The problem is with the guys who think they can win over the girls by using money! Tunaotakiwa kubadilika ni sisi wanaume na jamii kwa ujumla ..! Kama wanaume wangejua jinsi ya kuwapata kinadada bila kuhonga, akina lara1 wasinge exist at all!! This is deep though..
 
Jana nilikuwa nastorisha na wadada in their late 20's. Mawazo ya huyu sista ndo mawazo ya wanawake walio wengi sasa hivi, dunia imebadilika, baadhi ya wanawake ''wamechoka'' kufikiria... Wanahitaji ready-made, they are tired to strive on their own. Free lunch and dinner, then getting laid is the modern game..

tatizo kubwa kwa wanaume, wazazi wako wanaishi maisha ya kubangaiza, yawezekana kabisa una watoto wanaoishi maisha magumu, then unamsapotpi mwanamke ambaye hata asante kwake ni issue, i see the problem with men....some men are just ignorant kwa kweli.
lara 1 has been realistic but sorry to a.sses with a mentality of this kind..
 
Last edited by a moderator:

kwa MAWAZO NA MAANDIKO YA LARA NI AINA YA MABINT WANAOJIUZA KWA VIBOPA. SOMA KOMENT YAKE HAPO JUU ANAMREFER AUNT YAKE(5O YEARS) KWAMBA BADO ANACHUNA MABUZ,..
THATS WHY I SAY SHE IS UNLUCKY TO HAVE TO SHARE THE BLOOD....WITH RELATIVES THAT SELLS PUU**Y FOR MONEY..
LAKINI HOJA YANGU KUBWA HAPA NI VISCHANA AMBAVYO NAONA VINAMPRAISE LARA.. SAD.

SHE IS JUST,, ILL.
 
Exactly. Tatizo ni kwamba majority of the men wako kwenye kundi hili la uhongaji. Sio some.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaaaaa! SO THAY PUS.SY THAT WS FREELY AND CHARITABLY SPENT WAS IT WORTH IT!!!!!! DID IT GUARANTEE HAPPINESS!

HAPINESS IS OVERATED!!!!!!!! Stop dreaming and WELCOME TO THE REAL WORLD! Unaweza kumpa mwanaume bureee n kumlelea juu na bado akakufanya vibaya hadharani!!!!!!!! Mna maana nyie!!!!!!!!!?
 
data nahsi kunapointi imekuvuka.. Kunapost anasema "kutoa hela haimaanishi avue pichu, hlo ni swala jingne linalohtaji ushawishi mwingne, anatumia hela yako kwa ajili ni ukatili kukataa huruma yako.
 
Last edited by a moderator:

KOMA UKOMAEEEEEEEE! Aunt yangu mzuri, na alikuwa mjane tangia 34 years ULITAKA NAE AFE NA KIKOKO???????? Kwani alipenda kufiwa? Ndio alifiwa but LIFE HAD TO O ON and she is still a woman. Hao wanaume wanaochunwa WAMETAKA WENYEWE! Kilichowatoa kwa wake zao?????????

Nishakwambia KUPIGWA PUMBU FREELY SIO GUARANTEE FOR HAPPINESS!!!!!!!!! Watu kibao wanapigwa free pumbu miaka hadi miaka hakuna happiness yoyote zaidi ya kuchakaa tu abortions zisizo na idadi.

WAKEUP GIRLS!!!!!!!!!!!!! ITS NOT WORH IT.
 
Mkuu naomba nikutoe wasiwasi.. "visichana" na "vivulana" vingi vinavyosoma huu uzi, wala havina clue ya kitu kinachoendelea hapa. Nimetangulia kusema this sh*t is deep!
 
Duuu ameongea ukweli maana wanaume wa kweli hawapo inabidi tuuziane kabisaa
Ila kama mume wangu hapana naridhika na nnachopataa kutoka kwakee sitamuacha labda aninyanyaseee bila ya hivyo pesaa siangaliii lakin kwa hawa wa barabarani huruma haipo aisee
 
data nahsi kunapointi imekuvuka.. Kunapost anasema "kutoa hela haimaanishi avue pichu, hlo ni swala jingne linalohtaji ushawishi mwingne, anatumia hela yako kwa ajili ni ukatili kukataa huruma yako.

Data achnae nae akili yake FUPI SANAA kwao wanawake wanashinda kwenye sinki wanaosha vyombo, sasa akikutana na mie mwanamke wa digitali anatamani aninase vibao kwenye screen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…