mwongeze na Preta sijui nini kimempata. Nilimsoma kwenye thread ya msiba wa Regia tu.
Kabakabana umejaribu kuwa PM? Sometimes watu tunaingia JF ila hatuchangii...
hehehe jamani my wii kwani hujui nimepata mwingine? Huyo excellent kabaki kuwa rafiki tu,vipi unajua alipo?
Kweli kabisa... Ila watakusoma na watarudi tu. Waashawasha kule utambulisho, na Excellent kule jokes. Hata KAtavi kapotea kidogo nadhani.lakini si kawaida ya hawa watu,tumezoea kuwaona wakiwa active
mrudishe yule kwanza, nimwone yuko salama.
Asije enda kujinyonga bure, bibi yake alikuwa mhehe
mrudishe yule kwanza, nimwone yuko salama.
Asije enda kujinyonga bure, bibi yake alikuwa mhehe
Kweli kabisa... Ila watakusoma na watarudi tu. Waashawasha kule utambulisho, na Excellent kule jokes. Hata KAtavi kapotea kidogo nadhani.
ahaa! Kumbe Wahehe ndiyo tabia yaoo!!
mwongeze na Preta sijui nini kimempata. Nilimsoma kwenye thread ya msiba wa Regia tu.
ha ha....nipo fungate ndugu yangu.......watu hawataki tuingie JF......
ndo mpango mzima kucheka muhimu,Mxkwa hilo cheko lazima umeongeza siku 2 za kuishi,Mx.
ndo mpango mzima kucheka muhimu,Mx
Excellent kadakwa saudia na viza feki, washawasha jirani yake anaemuazima laptop ya kuingilia JF kahama kitaa
Excellent kadakwa saudia na viza feki, washawasha jirani yake anaemuazima laptop ya kuingilia JF kahama kitaa
Mbona Golden Mpoleeee kasema yuko nao wote wawili?
sasa Mbunge mtarajiwa mbona ameanza na kampeni za threesome? usalama upo apa?Mbona Golden Mpoleeee kasema yuko nao wote wawili?
Lawyer habishiwiya kweli haya?
hahahaha, mmoja ni driver, mgine anafanya cabinet. Sio vya kua nae kama ulivo fikiria.sasa Mbunge mtarajiwa mbona ameanza na kampeni za threesome? usalama upo apa?