Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
ha ha....nipo fungate ndugu yangu.......watu hawataki tuingie JF......
heeeeeee!!!! Afadhali wamo! Thanks in the name of my God!
ha ha....nipo fungate ndugu yangu.......watu hawataki tuingie JF......
sasa Mbunge mtarajiwa mbona ameanza na kampeni za threesome? usalama upo apa?
Lawyer habishiwi
hahahaha, mmoja ni driver, mgine anafanya cabinet. Sio vya kua nae kama ulivo fikiria.
heeeeeee!!!! Afadhali wamo! Thanks in the name of my God!
my wii
sasa excellent umemuuza tena??
Nakupeleka polisi.
Na akitoka huko mpige na talaka tatu on the spot, maana atakuwa haeleweki maweeeee.
mhh i doubt
nani haeleweki?
dereva wang ndio nini?
Hutaki au?
Wewe mara I so dowm with Kongosho mara saizi unauliza wengine huoni?
ulivyomkomalia duh full kifimbo cheza lol
ahsante kwa kunijibia
Siku nyingine sikujibii nakuaacha ukabane na jamaa zako kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeh!
sijui huwa anamfupishia nani hayo maneno au huwa anaandika akiwa anakimbizwa
Ni mbwembwe tu....
Kwa jinsi mnavyomshughulikia atanyooka naamini.
asiyejua maana haambiwi maana,kazi kwake
haya basi nsichakachue uzi huu zaidi, vp umefikia wapi na msako wako kwa hao watu? Inabidi ufungue ripot maalum kwenye ofisi ya Kova lol