Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Moja ya Kosa ulilo lifanya ni pale ulipokutana nae airport ukaacha kutafuta lodge ukamtafune,Dawa ya Hao wakirudi piga miti alafu usimtafute tena,au block kabisa😟😟
 
Aisee hii story imenigusa kama yangu sema mm wazaz wake ndo walikuwa chanzo half akawa ananitukana kwamba mama yangu mchawi nilichofanya nikupotezea japo ilikuwa ngumu maana n mwanamke niliemtoa usichana wake na nimekaa nae for four years bas juzi kati kaja ety anataka tuwe tunaongea nilichomwambia nenda kwenu sitak any from you
 
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
Tangu awali hakuwa na sifa ya mke. Huyo alikuwa kahaba wa viwango vya lami
 
Pole sana Kafirr
tapatalk_1570383637742.jpeg
 
Wanawake ni viumbe wenye upofu wa MAONO(japo najua watachukia lakini ndio ukweli)

Siku zote wanafanya maamuzi pasipo kuvisualize possible impacts za maamuzi hayo, wanachoangalia wao ni jinsi gani maamuzi hayo yanawafurahisha kwa wakati huo.

They always live in present continuing situations, once that temporary pleasure fades away, they start to regret.

Lakini tuishi nao hivyo hivyo tu tutafanyaje sasa wakati ndio walivyo na bado tunawahitaji.
 
Back
Top Bottom