Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Sasa hivi upepo wa Ma-ex kurudi ni mkali mno. Huyu alinipotezea tangu mwezi wa 1 mwaka huu alipopata kazi, nkajaribu mtafuta tafuta akawa hajibu sms wala hapokei simu japokama nlikuwa namuona kabisa online na status anaweka ila baada ya muda nikawa simuoni tena nkajua nshakula block. Sasa sijui kimemtokea nini yaani amerudi na sababu ya kitoto mpaka nimegundua kumbe nilikuwa nadate na kilaza namna hii[emoji1] na bado anajiamini kuniita Love kwa miezi yote hiyo alokuwa kanipotezea.

Polisi wanajua shikilia simu miezi 9 kwa upelelezi kudadekiView attachment 1240684

Mweleze na wewe wanajeshi wa jeshi la wananchi wameshika simu yako watakurudishia mwakani utamtafuta
 
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
Amejifunza na anajitoa kosa lake Nike namba zake
 
Kwa wanawake wa Tanzania walivyokuwa na akili finyu...basi huyu atakuendea kwa Mama Rwakatare akurudishe na upepo wa kisulisuli huku hujitambui na kumuomba ndoa.
 
Aaha jamaa una balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mbuzi mwingine huyu
20191022_090537.jpeg
 
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
Kosa kubwa ulilofanya ni kutomtia mimba ungemtia mimba hasingekuita kafiri.
 
Nikiangalia muda ambao 'binti' anakutumia yeye sms na wewe unavyotuma inaonyesha hua upo standby ili kujibu sms zake. Which means ana attention yako.
Which means unaenjoy anavyohangaika.
Which means na wewe ni mwanaume kama sisi wengine.

Hivyo usijizungushe sana. Kamata mega.
Muoneni huyu nae, kipindi nimemaliza kidato cha 6 nikaenda jkt kurudi mabaharia wamempa mimba sijakaa sawa akaolewa, sijui nini kimetokea huko amerudi analia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1240640
 
Katika kitu ambacho nilishawaweza wanawake ni kutegemea **** kunishawishi sijui staili kukata viuno manjonjo yaani sijawahi kuwa driven na hisia wala mambo hayo sasa mwanamke akoniletea nyodo huwa napita kule na huwa sisahau,ikitokea bahati mbaya akajilengesha kuna mawili naweza mtia kwa ndom na kumdhalilisha au nikamdhalilisha kusudi tu ilimradi nilipe kisasi
Kwanza sijawahi dumu na mwanamke zaidi ya miezi miwili nikimla tuu au akianza kuwa kunighasi kwa mizinga ajue siku zake zinahesabika sinaga ujinga wa kucheka cheka sijui kufanya show off na wanawake ila kutongoza ni daily
 
Nikiangalia muda ambao 'binti' anakutumia yeye sms na wewe unavyotuma inaonyesha hua upo standby ili kujibu sms zake. Which means ana attention yako.
Which means unaenjoy anavyohangaika.
Which means na wewe ni mwanaume kama sisi wengine.

Hivyo usijizungushe sana. Kamata mega.
Mkuu kwamba nyapu yake imekua na tofauti gani mana nishamega sana way back, Mimi kujibu text najibu kwa wakati kama siko busy haijalishi nachat na nani
 
Sasa hivi upepo wa Ma-ex kurudi ni mkali mno. Huyu alinipotezea tangu mwezi wa 1 mwaka huu alipopata kazi, nkajaribu mtafuta tafuta akawa hajibu sms wala hapokei simu japokama nlikuwa namuona kabisa online na status anaweka ila baada ya muda nikawa simuoni tena nkajua nshakula block. Sasa sijui kimemtokea nini yaani amerudi na sababu ya kitoto mpaka nimegundua kumbe nilikuwa nadate na kilaza namna hii[emoji1] na bado anajiamini kuniita Love kwa miezi yote hiyo alokuwa kanipotezea.

Polisi wanajua shikilia simu miezi 9 kwa upelelezi kudadekiView attachment 1240684
Duhh..

Huyu atakuwa SHABIKI wa MAN U tuu
 
Back
Top Bottom