Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Hata mimi ningekuwa wewe ningefanya hivyohivyo, urafiki unaweza usife iwapo eye atasisitiza ila hautakuwa wa karibu na mapenzi ndo kabisaaa hayatakuwepo.

Matata K.
Da wewe Dada una unyoofu,hekima na busara ya hali ya juu sana,sijui umri wako ningekuambia jambo fulani hivi.Sio mnafiki yani.
 
Hivyo viumbe mkuu sio vya kuviwezesha,.. Haya mambo binadamu tunalazimisha tuubadilishe mpango wa Mungu, mwisho wa siku vinaturudia sisi wenyewe... Mwanamke ni kiumbe hatari saaana, na sio dhaifu kama tunavyoamini.. Huyu ni wa kutawaliwa tu, ukimpa uwezo atakuumiza...
 
Moja ya Kosa ulilo lifanya ni pale ulipokutana nae airport ukaacha kutafuta lodge ukamtafune,Dawa ya Hao wakirudi piga miti alafu usimtafute tena,au block kabisa[emoji45][emoji45]
Tatizo ni MKE WA MTU sasa..
Na MKE WA MTU DHAMBI na SUMU pia...

KARMA never forgets you..

#ASANTE
#YNWA
 
Aisee hii story imenigusa kama yangu sema mm wazaz wake ndo walikuwa chanzo half akawa ananitukana kwamba mama yangu mchawi nilichofanya nikupotezea japo ilikuwa ngumu maana n mwanamke niliemtoa usichana wake na nimekaa nae for four years bas juzi kati kaja ety anataka tuwe tunaongea nilichomwambia nenda kwenu sitak any from you
Sometimes HARD DECISIONS are the BEST DECISIONS

#ASANTE.
#YNWA
 
Kama mimi tu mkwe aliniita kafiri na mtoto akaogopa kumuuzi mama wazo la ndoa likafa, sijajua kwa nini wakristo wanatuita kafiri hata ukisema kila mtu abaki na dini yake hawataki
Hudhani wako njia SASA ZAIDI YAKO..

#ASANTE
#YNWA
 
Muoneni huyu nae, kipindi nimemaliza kidato cha 6 nikaenda jkt kurudi mabaharia wamempa mimba sijakaa sawa akaolewa, sijui nini kimetokea huko amerudi analia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
20191022_065446.jpeg
 
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
ndio maaana mmetoka draw na manyumbu FC
 
Safi bora umeamua kuendelea na maisha yako bila kulipa kisasi .Akome wamekua na tabia hiyo mbaya alafu wakikwama wanakua wapole
 
Sasa hivi upepo wa Ma-ex kurudi ni mkali mno. Huyu alinipotezea tangu mwezi wa 1 mwaka huu alipopata kazi, nkajaribu mtafuta tafuta akawa hajibu sms wala hapokei simu japokama nlikuwa namuona kabisa online na status anaweka ila baada ya muda nikawa simuoni tena nkajua nshakula block. Sasa sijui kimemtokea nini yaani amerudi na sababu ya kitoto mpaka nimegundua kumbe nilikuwa nadate na kilaza namna hii[emoji1] na bado anajiamini kuniita Love kwa miezi yote hiyo alokuwa kanipotezea.

Polisi wanajua shikilia simu miezi 9 kwa upelelezi kudadeki
Screenshot_20191022-080556.jpeg
 
Back
Top Bottom