Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

YNWA YOU WILL NEVER WALK ALONE MWANA KOOP 💪💪💪 Amini SHE WILL ALWAYS WALK ALONE karma is a beach!
 
Alisemaga "Mi siwezi kuolewa na mkristo.. Wakristo wotee MAKAFIRI..!!""#ASANTE
#YNWA

Duuh, msamehe tuu kwa maneno hayo ya dini. Niko muangalifu sana kwenye kusema dini ya mtu. Huwa naheshimu sana imani ya mtu, maana imani ya mtu ilipo ndipo alipo, ukimdhihaki kwenye imani yake tuu umemharibu... Na mahusiano hayawezi kuwepo.

Matata K.
 
Swali kwako mtoa mada nini maana ya KAFIRI? na ukishamaliza nipe tofauti ya KAFIRI NA PROTESTANT?
Wewe ungekuja na elimu tu ya hivyo vitu badala ya kujifanaya unajua kumbe hujui chochote..... Njoo na elimu ya kumuelimisha kama wewe ni mjuzi wa mambo mkuu. Na mtoa mada akisoma nikujibuvyo akupotezee asihangaike na swali lako.
 
Back
Top Bottom