Fildmashal
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 104
- 91
Apambane na hali yake
Kumbe miss chagga bado upo mjengoniUngekuta tako ungepiga.
habariNakupongeza kwa kushinda jaribu la kuchukua mke wa mtu.
Haukuomba hata game kukumbushia Mkuu?Iko hivi..
Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..
Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.
Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.
Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.
Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)
Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""
Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""
Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.
Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.
Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.
Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.
Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""
Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""
Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!
Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI
Time heals na nikasahau..
Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.
Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!
Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.
NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""
Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""
Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""
Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...
Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..
Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.
Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.
Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""
JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""
UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.
Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.
#ASANTE
#YNWA
Karma is realMke wa MTU SUMU..KARMA never FORGETS..
#ASANTE
#YNWA
habari
Upo mzimaSalama
#YNWA in Klop We BELIEVE..Umefanya kitu poa. Sisi kama LFC TUNASEMA HONGERA SANA KOP
#YNWA
This is means more
We are REDS
We are Liverpool
Mke wa mtu #SUMU..Haukuomba hata game kukumbushia Mkuu?
Au sababu Wezere hana tena stimu zikakata??
Mume wa Mtu MaziwaMke wa mtu #SUMU..
#ASANTE
#YNWA
Funny not funny [emoji16][emoji1787]12' Mane
32' Salah
45+2 Wijnaldum
60' Salah
87' Lukaku own goal..... Duuuh kumbe Lukaku alishahama ila Nina imani Man U wanamkumbuka kama vile ambavyo ex wako anavyokukumbuka
Iko hivi..