[emoji23][emoji23][emoji1787]Rudi tena ukapigwe tukio la pili akili ikukae sawa
Ichukue hiyoHii imekaa vizuri
Amekuomba?Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionyesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality
which was not true). Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa. Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?
🎶Pesa na magari yakoo yalikufanya uwe kiburii.kuna ngoma ya Ray C, inaitwa umenikataa bila sababu sasa wanifatafaata nini,
ni ngoma kali sana itakusaidia utafika mbali
NAKAZIAkama una mtoto nae msaidie kama hauna mtoto nae mwache apambane na hali yake au labda kama unataka kurudisha majeshi fresh
Avatar yako imefanana na ya mubaba wangu mmoja wa humu jf.Amekuomba?
Unataka ujipendekeze akudharau tena?
Akikuomba msaidie...
Akikomaza shingo mwachie mapito yake...ni darasa ajue kuishi na watu
Mnamtafuta kakosa nini tena?Au ndiyo huyu tunamtafuta huku chama kwetu[emoji1787]
NakaziaAcha kuuliza maswali ya *******....
wajinga hawaishi mjini wallah acha limkute jambo akili imkae sawa.Rudi tena ukapigwe tukio la pili akili ikukae sawa
Msaidie kama akikuomba msaada. Ila kama hajakuomba msaada tulia.Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionyesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality