Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 425
- 1,027
Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality which was not true).
Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa.
Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?