Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

Nikisoma maandishi yako kwa sauti.....
Naona kama ni kinyume cha uliyo yaandika, badala yake katikati ya maandishi yako kwambaaaaali naona kama umefurahia hayo magumu ya Ex wako kwasabu bado unateseka na maumivu ya usaliti.
 
Inaonekana unampenda sana, ndio mtu anayekupa raha ya moyo wako. Kama unataka kumtumia kama chombo cha starehe we hudumia, lakini ukijua hafai kuwa mke.
Hudumia lakini hakikisha unachakata kila siku uwezavyo ili kurudisha gharama.​
 
Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionyesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality
which was not true). Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa. Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?
Huna ndugu zako wakuwasaidiaa
 
Msamehe, Kwa moyo wako wote. Muombee Kwa Mungu ili pasiwe na kisasi chochote Kwa niaba yako.
 
Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionyesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality
which was not true). Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa. Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?


Hawa ni wale wanaume legelege unataka kumrudia wewe na yatakutokea yaleyale mpaka ulegelege wako uishe. Punguza maneno kama mwanaume onyesha vitendo na achana na umbeya kama huu
 
No ,bro unaonekana ww ndo unateseka kiasi unapoteza muda mwingi kumfatlia, now umepata furaha kuwa ameharibikiwa sasa unataka kutumia huo mwanya kumrejea, ulishindwa ku move on, second chance hio changamka ukale makombo ,anenepe tena arudiane tena na jamaa, kazi yko itakuwa kama fundi mchundo kukarabati nyufa za nyumba iliokwisha oza
 
Acha ushamba achananae,,unataka tukushauri wkt Tyr maamuzi unayo mwenyewe nenda kapigwe tukio jingine na usukumuma wako,, punguza ushamba mali zipo nyingi mpyaaaa sokon achananae mzeeee huo ni udhaifu
 
Nilimfungulia duka la dawa(DLDM) la 6M miaka hiyo baada ya duka kunawiri na yeye kuanza kumiliki hizi +10M, akaanza kiburi cha kiwango cha SGR. Nilivyomwambia suala la ndoa akanambia kama kweli nahitaji kumuoa basi nimsubirie miaka 2 kuna mambo yake hajayakamilisha na kama siwezi basi nitafute mwingine nioe. Hiki ndo kilikuwa kipindi kigumu zaidi katika maisha yangu. Mambo mengi nilikuwa nshamfanyia yeye na familia yake lakini guess nini nilifanya. Baada ya week nilichukua laki2 nikamnunulia zawadi kibao kisha nikamwomba tuonane alivyokubali kuja na kukuta zawadi zile ikawa simple kwangu kum-convince kuuza duka lile huku nikimchorea ramani nzuri akaingia king, nikaliuza 7.5m. Kesho yake nikaoa binti mwingine.
Kwa upande wake hadi sasa ni shangazi yupo mwenyewe Tegeta Kwa Ndevu.

“TUMIA AKILI”.
 
ukishachana na mtu jenga uwadui nae sijui madogo ni nani anawadanganya haya mambo ya x,
sijui mnachanaachana vipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom