Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

Ex wangu anataabika hadi namuonea huruma, nimsaidie?

Nilimfungulia duka la dawa(DLDM) la 6M miaka hiyo baada ya duka kunawiri na yeye kuanza kumiliki hizi +10M, akaanza kiburi cha kiwango cha SGR. Nilivyomwambia suala la ndoa akanambia kama kweli nahitaji kumuoa basi nimsubirie miaka 2 kuna mambo yake hajayakamilisha na kama siwezi basi nitafute mwingine nioe. Hiki ndo kilikuwa kipindi kigumu zaidi katika maisha yangu. Mambo mengi nilikuwa nshamfanyia yeye na familia yake lakini guess nini nilifanya. Baada ya week nilichukua laki2 nikamnunulia zawadi kibao kisha nikamwomba tuonane alivyokubali kuja na kukuta zawadi zile ikawa simple kwangu kum-convince kuuza duka lile huku nikimchorea ramani nzuri akaingia king, nikaliuza 7.5m. Kesho yake nikaoa binti mwingine.
Kwa upande wake hadi sasa ni shangazi yupo mwenyewe Tegeta Kwa Ndevu.

“TUMIA AKILI”.
Mzee inabidi utunukiwe cheti na chama cha wanaume, au ugombee nafasi ya uwenyekiti kwenye chama
 
Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality which was not true).

Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa.

Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?
Kwani amekuomba msaada? acha kufatilia maisha ya watu wewe boya au bado unampenda unakuja kujiongelesha hapa.
 
Katika vitu ambavyo wanaume wengi tunafail ni kurudia nyuma katika yale maamuzi uliyoyachukua na kibaya zaidi ni kumchunguza au kujua tu habari za mlieachana. Chanzo cha kumrudia huyo na kupata mikosi ni kujaribu kufuatilia habari zake. Fumba macho na masikio. Songa kivyako
 
Tangu aliponi cheat na kunikana wazi wazi, huku nikiwa nimemboast katika biashara yake, ambayo baadaye ilikuja kumpa jeuri ya kutembea hadi na wateja tuliachana, na mimi nikaondoa baadhi ya vitu nilivyokuwa nimemuongezea kwenye biashara maana niliona ndipo ujeuri ulipoanzia. Lakini mara baada ya kuachana akawa anajitutumua kujionesha ana mtu strong kuliko mimi (The reality which was not true).

Kinyume chake huyo mtu kumbe ndiye aliyekuwa anamnyonya hadi kumfilisi. Alikuwa kama nuksi kwake, kwani relationship yao ilivyokuwa inazidi kuendelea ndivyo nuksi zilivyokuwa zikizidi kumuandama huyo Ex wangu. Sasa hivi hata hiyo biashara hana tena, kibaya zaidi, kulikuwa na mikopo ya watu anadaiwa.

Wamemjia juu wanataka kukamata chochote chake ili wauze kulipa madeni. Kwa kifupi hana maisha tena. Anateseka sana kiasi kwamba niliposikia habari zake nimeingiwa na roho ya huruma. Natamani kumsaidia, ila sasa naanzaje? Wadau mnasemaje nimsaidie?
Wewe ni KE au ME?

BTW:Mwafrika ni mtu wa hovyo sana!
 
Msaidie rejesho, tunakaribia kuvunja kikoba December
 
Kama umeshaoa bro sogea mbele na maisha yako achana na hawa viumbe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom