Jogoolakiume
Member
- Mar 8, 2013
- 15
- 4
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
yeye anahisi mmeruniana au wewe ndo unahisi mmerudiana, unampenda kweli ila hujitambui tu kuwa unampenda!niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu ndio au hapana....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na kumwambia stop ndio nashindwa....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....naombeni ushauri nini cha kufanya kabla sijamuelekeza kwangu.
.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio....
Ushaur wang kwako ni tafta kila njia umforwadie hii thread ulioituma then uone reaction yake,thanx kama utafanya hivyo
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.
you are being recycled
Or rather, he is being put on the reserve team. Akikosa kodi ya nyumba tu anatia yimu mazima. Just saying...