Ex-GF wangu kaolewa jana

The manner in which you have described the lady shows you still adore her but you lost the chance. Now, what haunts you is jealousy. What I can advice you is that just try to forget instead of mudslinging the man.







The strongest man is he who stands alone
 

Kaka yaani maneno unayoyaongea sijakuelewa bado,tatizo lako ni nini hasa? inaelekea kuolewa kwa huyu dada kumekuuma sana, maana inaonekana katika akili yako ulishawahi kuwaza kwamba huyu dada hataolewa, na siku moja angekuja labda kukupigia magoti ili umuoe lakini imekua tofauti na hisia zako kwa hiyo ulipoona ndo anaolewa hivyo kiroho kikakuuma na kuanza kumtoa kasoro kaka wa watu, haipendezi hata kidogo sisi kama binadamu kuanza kumtoa mtu kasoro ambae ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
poke sana! huyo ni mke wa mtu caca usithubutu kuwaingilia kabisa
 
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!


Inawezekana wewe ukivaa suruali unaonekana mwanaume lkn kichwani hamnazo, wakati dada yeye haangalii suruali anaangalia mtu mwenye busara na malengo muafaka ya familia na maisha si surusri tu. Nasema haya kutokana unavyomkandia mwenzio na wewe kujiona ni bora.. hii inatia wasiwasi juu ya kiwango cha busara na ufahamu wako!!!
 
Asante mkuu kwa kusikiliza ushauri na kubadilisha kichwa cha uzi wako. Sasa kichwa na uzi vimeshikana.
 
Wivu tu japo unakanusha. Ina maana huyo jamaa hana haki ya kuoa kisa yuko vile usivyotaka wewe! Mrembo kampenda na tayari kawekwa ndani.
Pooooole!
 

Kweli bana, asante kwa kunielewa.
 
Sasa hayo ndo yanaitwa maneno ya mkosaji!!We kinachokufanya uamini huyo jamaa hamfai ni haraka yakuolewa tu ...ni nini haswa??

Ni kwamba yule jamaa kwa mwelekeo wake mwonekano na kila kitu, hapana yani, si wa kuoa msichana wa class ile, yani tofauti kabisa, na tena naweza kuiita hasara kwa ex wangu, lakini basi yameshatokea. So sad!
 
mie naamini ni huyu mleta mada ndio kawa desperate kwa mawivu baada ya kuona alichokiacha kina thamani labda alikokimbilia ni moto.

Roselyne unanielewa vibaya. Ni kwamba baada ya kuachana nimempenda kama dada yangu, tulikubaliana iwe hivyo. Wewe ukiona kakaako anauvaa mkenge hivihivi utaona ni sawa tu na utajisikia vizuri? No bana, my girl deserved a better man not that dude!
 
Yaani leo nimepashwa kiukweli kama si kusutwa, lakini yote nayakubali, kila kitu kina gharama yake. Kesho tena wakuu tukijaaliwa.
 

Wewe umeoa? Nani alimwacha mwenzake kati yenu? Isije ikawa kama ile story ya fisi kutembea usiku kuchwa akivizia mkono wa binadamu uanguke lakini wapi bwana?
 

Mtu B kubali tu umeumia yani wenzio wameshakuwa wanandoa. kubaliana na hali
Usikute huyo dada pale moyo wake ndio umefika.
 
 
ungeweka picha yake na zao ndo tungejua nan anamfaa bt ivi iv tu inakuwa ngumu kutia neno
pole lakin dzain haumpend tena uyo demu ....mpk ukaja kutuabarisha na sisi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…