Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada

mwambie basi na yeye akurudishie papuch yako alivyoikuta,mijitu mingine ovyo,wala hata usimrudishie kwan ana ushahidi alivyokupa? Alafu kwan anajuana na mapolis tz nzima? Ebu asikutishie nyau
 
nawe mdai ulivyompa, hajui kwamba hakuwa anatoa bure hizo hela zake. Mbona hakuwapa wengine barabarani? Asikutishe, mjini hapa
nb: acha kudate na walugaluga

Utamjuaje mluga luga

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inategemea alikupa nini na kwa makubaliano gani. Lakini ikiwa ni zawadi za kawaida hana haki ya kudai.

Ke ni wangese sana mamaakeku! ningemjua mshikaji, ilitakiwa nimsindikize tukadai vyetu.
Usimteteee huyu kiumbe hata kusi jamo coz always we suffer frm tearing tears then we got them then they use us and throw us away!
Aaaaaaaaaaaagrrrrrr let them ---- the way by simple means! Coz sisi ni wenyekiti wa genge! Akiinuka mwengine anakaaaaa just simply in dat way!
Hawa viumbe ni rahsi sana kuwamung'unya ila ukifanya uzembe utakuwa mtumwa!
 
Imagine huyu ndio dada yako tumbo moja au cousin wako bado ungekuja na mbwembwe na ushabiki wakijinga hivi?
 
Hahahahahaga hapa mjini watu tuna staili nyingi za kuishi yeye alileta kwa hiari yake saaasa shida za nini na wewe lipua bomu.
 
Nasikia harufu ya Ufo Saro!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
AshaDii kama upo mitaa hii hebu tuonane swahiba this is serious case.
 
Last edited by a moderator:
si nyingi lakini naeza ita nyingi kwani sina uwezo wa kuirudisha na pia hakuna makubaliano yoyote ya mimi kurudisha ni pesa za kawaida ambazo hata wewe kama una mpenzi una weza kumpa

Huna sasa! mbona ulileta shobo za kis.enge kumzingua jamaa yangu? rudisha kila kitu unless kesho tunakupandia kikauzu lazima tutukutoe shoo ya mbele hasa receiption!!! utaumiaje we mlupo usie na soni kudate na waumme za watu kisa umepanda dau!?! yatakutokea puani leo na hatukaichi ng'oooooo!
 
ndugu wana mmu naomba
msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa
msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka
nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu
alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba
niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane
anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu
lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja
kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo
hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake
sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na
polisi sasa nafanyaje????
wewe mdada wewe siulikuwa unatafuta miezi iliyo pit humu ndani kumbe ulimpata..?? Jamaa ulimpata humu au mtaa mwingine kabisa kama ni humu ujumbe umeshafika kaa na amani ni kinyume chake ni kweli
 
Safi kabisa wazee wa type hiyo ndiyo tunaowataka mjini

Kitu nilichogunduwa jukwaa hili sasa hivi limejaa watoto wa under 25, unajiona mjanja Anonymous kumbe unayemponda ni dada yako na hujui kwasababu id haiko verified.
 
Kitu nilichogunduwa jukwaa hili sasa hivi limejaa watoto wa under 25, unajiona mjanja Anonymous kumbe unayemponda ni dada yako na hujui kwasababu id haiko verified.
Umefuata nini kwenye jukwaa la watoto
 
Hasikutishe ata Kama anajuana na mapolis uchwara we nenda katoe taharifa polis tafuta na mwanasheria pia tafuta mtu baunsa mlipe na pesa aende akamtilie mkwara wa nguvu aache kukufatilia vinginevyo ataama mji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom