Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ovyooooooo! Sikutarajia kuwa bado tuna mijitu ya aina hii karne ya 21. Kama alikununulia bazoka, icecream au lunch navyo anataka? Kama aliwahi kukununulia nguo wewe mpelekee hata tight,chupi nk kusanya upeleke.
Suala la kujuana na polisi wala lisikutishe, kwani umeiba? Hiyo ni kesi ya madai kama ipo kesi kweli. Huwezi kuwekwa mdani kwa sababu ya upuuzi wa namna hiyo. Ahhhrrrgh!!
 
Dada kwa hayo umejishushia thamani na unaonekana kabisa u radhi kufanya lolote lile ilemradi vitu ulivyopewa usirudishe.

Dada yangu hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na amani ya nafsi/roho. Na ili kuipata amani ya nafsi inatakiwa kuridhika na ulichonacho, uwe mtu wa kukubali kuachia baadhi ya mambo ambayo yanakukwaza maishani na kujipanga kivingine.

Kitendo cha kusema hutaki kumrejeshea kwa kuwa amekutumia ni kujidhalilisha wewe binafsi, kwani ulienda kwake na kuanzisha mahusiano kwa nia ya kupata faida nyingine ya mali tofauti na Love issues.? Ni kwa kauli kama hizi zinapelekea hata wavulana wadogo wawadharau wanawake na kuona wote ni walewale ya kuwa ni mal.aya.

Leo hii hutaki kumrudishia stahiki yake inayoonekana alikupatia, ila tambua sisi binadamu ni watu wa ajabu sana, kuna baadhi yetu wapo radhi kwa lolote kufanikisha alitakalo, siombei huyo awe mmoja wa hao. Kwani kukomaa kwako kutorudisha inaweza kuja kukucost usivyodhania sasa ama inaweza kuja kukunufaisha. Nakuacha na case study mbili ambazo si za muda mrefu.

1. Ufoo saro.
2. Mushi - Ilala.
 
Waswahli wanasema pesa hutaftwa ila sio uhai.kurport polis sio tatizo anaweza kukudhuru kwa njia yeyote midhali anakinyongo nawewe.sasa maamuzi yapo kwako.kama unaiman kua hutapata vitu vingine kamahivyo endelea kuvizui ila kama unajua mungu ndie mtoaji mpe uwe huru.angalia uhai wako na mali ulizoazimwa.

sasa simali tu anataka pesa zake nimrudishie polisi kwenda naweza ila tatizo ni kwamba ana fahamianana police
 
Uuuuuupsi men men men
Don't expect love in return jaman
Katika mapenz ukimpa mwenzio zawadi usitegemee akurudishie siku mkiachana.
Sion sababu ya kurudisha kwa maana kuna vya dhaman mlivyopoteza especially MUDA hizo asset kwangu hazina maana
Kama ataweza kikulipa mda mlopotezeana, trust, heart hurted alokupa ,na madhaifu yake ulokuwa unamvumilia ....hapo we can talk
 
Dada kwa hayo umejishushia thamani na unaonekana kabisa u radhi kufanya lolote lile ilemradi vitu ulivyopewa usirudishe.

Dada yangu hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa na amani ya nafsi/roho. Na ili kuipata amani ya nafsi inatakiwa kuridhika na ulichonacho, uwe mtu wa kukubali kuachia baadhi ya mambo ambayo yanakukwaza maishani na kujipanga kivingine.

Kitendo cha kusema hutaki kumrejeshea kwa kuwa amekutumia ni kujidhalilisha wewe binafsi, kwani ulienda kwake na kuanzisha mahusiano kwa nia ya kupata faida nyingine ya mali tofauti na Love issues.? Ni kwa kauli kama hizi zinapelekea hata wavulana wadogo wawadharau wanawake na kuona wote ni walewale ya kuwa ni mal.aya.

Leo hii hutaki kumrudishia stahiki yake inayoonekana alikupatia, ila tambua sisi binadamu ni watu wa ajabu sana, kuna baadhi yetu wapo radhi kwa lolote kufanikisha alitakalo, siombei huyo awe mmoja wa hao. Kwani kukomaa kwako kutorudisha inaweza kuja kukucost usivyodhania sasa ama inaweza kuja kukunufaisha. Nakuacha na case study mbili ambazo si za muda mrefu.

1. Ufoo saro.
2. Mushi - Ilala.

vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada
 
Kiboko yake ni Polisi tu. Ukimshitaki mtaliongea kisheria na ukweli atakula kona mwenyewe. Kwa maridhiano amta afikiana vyema. Msichana akimwacha mwanaume asilimia kubwa anakuwa tayari kisha mpata mwanaume mwingine. Mwanaume aliye achwa mara nyingi hutaka penzi jipya la mpenzi aliyemwacha lisitawalike na pengi kwa roho hizi mahafa utokea.
 
kwa nini umrudishie............

hilo ndo swali????lakini naogopa alichofanyiwa ufoo lakini swali linakuja yeye anataka pesa zake zote tangu ananijua hapo heaven on earh ingekuwa wewe ungefanyaje
 
Mkuu hapana acha kupotosha kwa case study zisizofanana, UFoo saro na Mushi hao walikuwa wachumba wanataka kuoana, hii tunayijadiri hapa ni lisanii limoja linampotezea muda dada wa watu wakati ana mke hii siyo sawa kabisa na haikubaliki.
 
kwa mtoro ananiweka katika wakati mgumumaana hata nikimwambia aje achukue vitu naogopa atanidhuru na pia yeyeanataka pesa na sio just vitu tu
 
vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada

Jamn anakupa mateso tuu
pesa utalipeje??? Yeye anajua exactly amount alizokuwa anakupa kwa huduma tangia hapo mwanzo hadi Leo?? Wanaume wa kiivi karne hii bado wapo..how dare he is.?????
 
Mkuu hapana acha kupotosha kwa case study zisizofanana, UFoo saro na Mushi hao walikuwa wachumba wanataka kuoana, hii tunayijadiri hapa ni lisanii limoja linampotezea muda dada wa watu wakati ana mke hii siyo sawa kabisa na haikubaliki.

alafu tatizo anataka ela alizotumia kwangu sinceday 1
 
hilo ndo swali????lakini naogopa alichofanyiwa ufoo lakini swali linakuja yeye anataka pesa zake zote tangu ananijua hapo heaven on earh ingekuwa wewe ungefanyaje
Nina wasiwasi kama upstairs uko sawa, hivi unaijuwa kesi ya kutishia kuuwa mahakamani ilivyo ngumu?
 
Hii siyo haki brother don't generalise, ni ushamba uliopitiliza kumdai demu gift ulizompa, labda kama ulikuwa msanii ukampa gari na kadi ukabaki nayo basi ukidai akurudishie poa tu kwa sababu gari bado ni yako lakini gadgets zingine kudai ni ushamba.

Adai na pocket money alizokuwa anampa kama yeye ni bingwa wa kudai.

Matola inategemea mkuu mademu wengine they r very troubleshooters aaaagrrrr! mshikaji pengine kajituma kichizi kumeet demand ya huyu demu. Then baada ya wiki2 demu anazingua hataki kupokea simu kutwa nzima, ukimwandikia sms kiukali fulani kuonesha msuri wa kiumme anaanza kureact negatively na kukuponda kisen.ge kwann usidai mali zako? M talking regarding to my own experience.
Demu nilimkuta form2, nikahudumia mpaka udsm bt end of the day akanitenda na kuleta mambo ya shobo. Agggrrr niliumiaje mkuu!
 
Last edited by a moderator:
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Inaelekea ulimtapeli kwahiyo wewe mrudishie tu mali zake.mimi mwenyewe ulinidanganya kwamba una dawa ya gout kumbe ulitaka kuniingiza choo cha kike.
 
vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada

Kama anahitaji pesa ambazo zilikuwa za matumizi wakati mkiwa wawili, hapo atakuwa anakosea. Ila kama alikuazima pesa na anazidai pesa zake wewe tafuta umpatie tuu pesa zake, muachane kwa amani.

Ila kama ni pesa hizo tuu za matumizi, hapo hakuna kesi na hana la kukufanya ingawaje wewe unasema anafahamiana na polisi.

Hakuna polisi mwenye akili timamu atakayekubali kuhandle hiyo kesi, hata kubambikiza kesi hiyo haiwezi kumbambikizwa.

Kwa hapo unaweza kwenda kuwahi polisi kutoaa taarifa ya kutishiwa maisha na huyo jamaa. Message za vitisho usizifute kwani zitakuwa ndio uthibitisho wako juu ya kesi itakapoibuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom