Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

sikua na makubaliano naye yoyoe nalia tu hata job nashindwa kufanya kazi

ninavyojua mimi, legally speaking, kama hizo zawadi alikupa in contemplation of marriage na wewe ndiye uliye-break hiyo relationship then ni haki yake kuwa refunded all those gifts. otherwise, kwa kutumia common sense huwezi kudai zawadi amboyo ulimpa rafikiyo but, kwangu mimi, mpaka atake hivyo vitu vyake may be ni vya thamani kubwa! na kama ndivyo hata mimi naiona concern yake yakurejeshewa!
 
Inaelekea ulimtapeli kwahiyo wewe mrudishie tu mali zake.mimi mwenyewe ulinidanganya kwamba una dawa ya gout kumbe ulitaka kuniingiza choo cha kike.

....punching below the belt.....how is your honey moon??
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Mwambie ni sawa harafu mpige mkwara kwamba na ukimwi aliokupa utarudisha vipi. Subiri jibu utaona maajabu
 
Matola inategemea mkuu mademu wengine they r very troubleshooters aaaagrrrr! mshikaji pengine kajituma kichizi kumeet demand ya huyu demu. Then baada ya wiki2 demu anazingua hataki kupokea simu kutwa nzima, ukimwandikia sms kiukali fulani kuonesha msuri wa kiumme anaanza kureact negatively na kukuponda kisen.ge kwann usidai mali zako? M talking regarding to my own experience.
Demu nilimkuta form2, nikahudumia mpaka udsm bt end of the day akanitenda na kuleta mambo ya shobo. Agggrrr niliumiaje mkuu!
Babu ulijitwika jukumu la bodi ya mikopo? pole sana wacha maisha yaendelee tuko kwenye generation ngumu sana mungu tu ndio anajuwa wakati mwingine unaweza kuona hata waarabu labda waliona mbali kuoana ndugu, yaani vilio vya usaliti vimepamba moto.
 
Last edited by a moderator:
hilo ndo swali????lakini naogopa alichofanyiwa ufoo lakini swali linakuja yeye anataka pesa zake zote tangu ananijua hapo heaven on earh ingekuwa wewe ungefanyaje

mie nisingemrudishia hata sent 5......ningemwambie ye anilipe vyangu angeweza maana vingine havilipiki

hakuna cha kuku ufoo wala nini halafu kumbe ana mke kosa lake si angekua mkweli tangu mwanzoni
 
Dada usijichoshe wala kupoteza muda wako kama hiki unachosema ni cha kweli na siyo hadithi za kutunga arrange nitakutana na wewe mtumie Maxence Melo au AshaDii watakuconnect na mimi huu usumbufu ndio utakuwa mwanzo na mwisho.
nadeclare mapema am not searching for woman.

Hahahaaaaa..... Mie nimependa hapo nilipo bold..!
 
Bora urudishe na kama jamaa ni mangi basi shaba inakuhusu.

Hawarembi hao jamaa,tena kama anaujua ukoo wenu atakuja na bastola hadi kwa bi.mkubwa.

Kuna watu watakupamba humu then mwisho wa siku utaumia peke yako.
 
sina mtu yoyote ninae ishi nae n wala siwezi kumpata ni mtu mwenye kufahamiana na polis

Kabla ya kutoa maoni naomba kukuuliza maswali yafuatayo.Nyumba unayoishi kwa sasa ni yako au yakwake.swali la pili .kama nyumba sio ya kwake hainahaja kuwa na wasiwasi maana hamkufunga ndoa cha msingi ni kuripoti polisi kuwa umetishiwa maisha maana hili ni kosa la jinai.PIa kama unaweza unaweza tafuta ndugu au marafiki wa kuishi nao hapo washirikishe wazazi .
 
Hilo ndilo tatzo la kuDeal na wazee wame za watu kwa tamaa za pesa, mpaka wanasahau familia zao sasa mke wa huyu mzee maombi yake yamejibiwa kwa dizain hiyo mwaka huu utakimbilia sana chooni' acheni maisha ya shortcut tafuta hele na vitu vyako mwenyewe!!
 
Dada usijichoshe wala kupoteza muda wako kama hiki unachosema ni cha kweli na siyo hadithi za kutunga arrange nitakutana na wewe mtumie Maxence Melo au AshaDii watakuconnect na mimi huu usumbufu ndio utakuwa mwanzo na mwisho.
nadeclare mapema am not searching for woman.

Asante kaka hawa jamaa waonevu sana msaidie
 
nawe mdai ulivyompa, hajui kwamba hakuwa anatoa bure hizo hela zake. Mbona hakuwapa wengine barabarani? Asikutishe, mjini hapa
nb: acha kudate na walugaluga

jamni sasa nafanyaje
 
Kabla ya kutoa maoni naomba kukuuliza maswali yafuatayo.Nyumba unayoishi kwa sasa ni yako au yakwake.swali la pili .kama nyumba sio ya kwake hainahaja kuwa na wasiwasi maana hamkufunga ndoa cha msingi ni kuripoti polisi kuwa umetishiwa maisha maana hili ni kosa la jinai.PIa kama unaweza unaweza tafuta ndugu au marafiki wa kuishi nao hapo washirikishe wazazi .

msg ninazo za vitisho hapa napoishi si kwake
 
Namshukuru muumba kuniepusha na mtihani kama huu hivi wanaume wenzangu dadako wa damu anakujia na kilio kama hiki unafanyaje!!!!??????

Ewe dada kwani ulinunuliwa nini na mmekaa kwa muda gani na hilo chepuko lako???!!!Be frank hapa!!!!!
 
mie nisingemrudishia hata sent 5......ningemwambie ye anilipe vyangu angeweza maana vingine havilipiki

hakuna cha kuku ufoo wala nini halafu kumbe ana mke kosa lake si angekua mkweli tangu mwanzoni

aliiniingiza kwenye trap
 
umefanya maamuzi mazuri sn so far hongera sn! anakutisha tu huyo ili umrudie, ila nidhahiri hata ye anaogopa km utamtishia km utamwabia mkewe.
 
Mkuu hapana acha kupotosha kwa case study zisizofanana, UFoo saro na Mushi hao walikuwa wachumba wanataka kuoana, hii tunayijadiri hapa ni lisanii limoja linampotezea muda dada wa watu wakati ana mke hii siyo sawa kabisa na haikubaliki.

tayari je nimkonsult tena asha dii
 
ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadh ya vitu alivyoninunulia,kanitumia msg za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakin ndo kama imekua mwiba kila saa sms na cm za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje????

Kama ni mchaga think twice.. wameshazijua binduki basi ni hatari tupu.
 
umefanya maamuzi mazuri sn so far hongera sn! anakutisha tu huyo ili umrudie, ila nidhahiri hata ye anaogopa km utamtishia km utamwabia mkewe.

anajua siezi mwambia mkewe kwani hata cm yake alikua anweka mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom