Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,943
- 808
Mkuu una mshipa wa kiume hasa....mi leo sicomment nagonga like tu
Hata mimi namgongea like kubwa sana maana hawa dada zetu hawana maana kabisa nna mfano hai kabisa ya jamaa yangu mmoja nilikuwa nafanya nae kazi alimsomesha mchumba wake hadi chuo na alijinyima sana nusu ya mshahara wake anautuma kwa huyo mchumba wake chuoni sasa alikuwa anawasiliana na huyo mchumba wake ambaye alikuwa anatumia simu ya mtu ya kuazima kumbe yule aliekuwa anamuazima ile simu alikuwa bwana wa mchumba wa huyo rafiki yangu, at the end of the day yule msichana akampigia simu mchumba wake ambaye ni rafiki yangu kuwa anataka kuolewa na mtu mwingine sie yeye, jamaa alichanganyikiwa kabisa tukamshauri amwachie Mungu ni kweli aliolewa lkn the end of the day kumbe yule jamaa aliyemuoa hakuwa na mbele wala nyuma alikuwa tapeli tu wa town, ikabidi yule msichana aje kwetu mashemeji zake wa zamani kwa magoti ili tumuombee msamaha.