Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

Ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadhi ya vitu alivyoninunulia,kanitumia mesegi za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakini ndo kama imekua mwiba kila saa sms na simu za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje?
Rudisha mapenzi ya Digital!?
 
...women of these days....bila KUMJERUHI MAISHA YAKE HAWAELEWI....very opportunistic.....wako wako tu.....namshauri jamaaa wala asiwaze sana....amsulubishe....kulipa haina maana...IF WE COULD HEAR BOTH SIDES OF STORY UNGESHANGAA..Labda hakuna hata mmoja ange mdefend huyo kidudu mtu mmasai.....ni kumsulubu tu...huruma haina nafasi hapa....
..kuna vitu sie wanaume hatuwezi vumilia...demu umemlea hadi miaka na miaka...leo mak.alio na hips zimenenepa....analiwa nje sasa analeta ufirauni na nyodo....namshauri jamaa AWE MWANAUME WA KWELI....

Exactly mkuu,huyu mwanamke anataka kujionyesha not guilt,kama tungepata nafasi ya kumsikiliza jamaa ndio tungeujua ukweli,wanawake wa siku hizi ni waongo sana,kala vitu vya jamaa,anataka kukimbia jamaa kamshtukia,yeye amrudishie jamaa vitu vyake aache usengerema.
 
vitu nilimwambia aje achukue tatizo ananiambia anataka pesa zake tangu alivyonijua na gharama za huduma yoyote aliyonifanya ndio maana nikaomba msaada

kwan anakudai bei gani? je upo tayar kumlipa? au unataka kudhulumu?
 
du shosti kwaaaade taadoi? ko liaji ilaa ayooni le memurata? kama kurudisha ni poa ila aanze yeye kurudisha kila kitu mpk muda aliokutumia. MITOTO MINGINE BHANA HAIJAKUA INAINGIA KWENYE MAPENZI NA WATU WAZIMA!!!!! CJUI HELA ZA KUNUNULIA AMUHBIA BABAYE?

hilo suala la kumtumia ndo mimi napingana nalo! WALIKUWA WANATUMIANA.period!
 
Ok. URODA = Unajidai Rijari Ona Dada Amekukimbia. Upo hapo?

...Haahahaaaa...Lekanjobe...nilifikiri utaongea kwa uchungu kama mwanaume ANAYEJUA MACHUNGU HAWA MABAZAZI WANAVYO CHUNA WANAUME...SUBIRI MKEO APIGWE MBUZI KAGOMA HALAFU UJE hapa ndio utajua nasema nn...
 
Ndugu wana mmu naomba msaada kwani nimejaribu kutafuta kwa njia ya kawaida nimekosa msaada,tatizo ni ex wangu yapata mwezi na kitu tangu tumeachana anataka nimrudishie gharama zake pamoja na baadhi ya vitu alivyoninunulia,kanitumia mesegi za vitisho ila kikubwa ni kwamba niligundua ana mke muda kidogo lakini kila nilipomwambia tuachane anasema nimrudishie kila kitu,tangu mwezi sasa nimefanya maamuzi magumu lakini ndo kama imekua mwiba kila saa sms na simu za kunitisha jana kaja kanigongea mlango nikakimbilia chooni maana taa ilikua inamulika hivyo hakuniona baadhi ya vitu alivyonipa kasoro kimoja ndo kina jina lake sasa nafanye kumbukeni kanitumia na kumbukeni ni mtu anaefahamiana na polisi sasa nafanyaje?

Mlipe tu
 
Back
Top Bottom