First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
Nchi hii inamilikiwa na wafanya biashara,
No magamba
No kikwete
No nchimbi!
No magamba
No kikwete
No nchimbi!
Natamani 2015 ingekuwa Octobar mwaka huu!!
SI SAHIHI KUSEMA MAFUTA MAZITO YANAUZWA NA BP PEKEE. TOTAL PIA WANAUZA MAFUTA MAZITO!!!
PIA SI SAHIHI KUSEMA BP IMEFUNGIWA:- HUWEZI KUMFUNGIA KWA KUMRUHUSU AUZE MAFUTA KWA JUMLA KISHA WAKALA WAKE AKACHUKUE KWA WALE WALIOUZIWA KWA JUMLA. HEBU JIULIZE HIVI:-
1. Huyo wa rejareja akienda tuseme oilcom ambako mafuta ya BP yamewekwa akanunua lita zake 1000000 invoice ikaandikwa oilcom lakini pesa ikaenda BP katika jina la kulipa deni la yale mafuta yaliyoletwa kwa bei ya jumla. Je, hayo mafuta yatakuwa yameuzwa kwa huyo mteja na Oilcom au BP?
Baada ya mbwembwe nyiiiingi....Mkurugenzi wa BP kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za kukaidi Agizo la Serikali...mara tumesimamisha leseni ya BP kwa miezi mitatu kwa kukaidi Agizo la Serikali.
Kwa kweli siku zinakimbia sana kama ni hivyo maana miezi mitatu ya EWURA itakuwa imekwisha, nikisema hivi ni kwamba BP mziki mdundo mafuta yamenza kuuzwa toka jana katika vituo kadhaa Nchini...Jana nimekunywa mafuta BP kwa bei saafi ya 2264.
Haaya Ubabe na mwembwe za Haroun Masebu waaapi.
Naamini kabisa EWURA kasalimu Amri kwa BP
ADIOS
Utakuwa unaishi UGANDA
Inaelekea wewe ni mgumu au hutaki kuelewa kwa makusudi, jaribu kuwa mkweli hata kama una hasira na EWURA/Serikali
PB wamefungiwa kuuza jumla, kwa kifupi ile PB ya pale bandarini ndo hawauzi mafuta ya jumla. Ulikokunywa mafuta ni vituo vya watu binafsi vina nembo tu ya BP na mafuta wamepata kwingine si PB HQ.
Na tamko la EWURA lilikuwa wazi kueleza hilo, sasa wewe unakazana kutoelewa. Unapotosha watu maana naona kibao wameshakuunga mkono.
Au raha yako ni unapoona umeponda na kupata supporters.
Kumbe ndo maana avatar yako kichwa kinawaka moto uelewi umechemsha!

Msije toboana macho jamani taratibu pls!
Ninachoshukuru ni kuwa apa nilipo mafuta yanapatikana!
hiyo 2264 si ni juu ya bei elekezi! ewura km mbwa kaona chatu vile

Sijui ilikuwaje hakuna mbunge aliyehoji kauli ya Ngeleja kuwa wamefungia BP. Ukitafakari kwa makini ni kwamba BP hawajafungiwa. Ni hivi: Ngeleja alisema wanaruhisiwa kuuza mafuta yao kwa wengine na hivyo wale wauza mafuta rejareja wenye nembo ya BP wataruhusiwa kununua mafuta kwa wengine. Now, in real essense, Ngeleja anasema BP wanaruhusiwa kufanya biashara ya jumla na sio ya rejareja! Swali, kuuza kwa jumla sio biashara? Sasa haya majigambo ya kufungiwa leseni yanatoka wapi? kNa hakuna mahali popote aliposema Ngeleja kuwa BP wamekatazwa kuagiza mafuta. Ina maana BP wanaendelea na biashara ila tu wasiuze kwa rejareja!!!

Mwenye data atusaidie, vitu vya rejareja vya BP viko vingapi? vingi ya vituo vya BP vinatumia nembo ya BP tu!. Usanii mtupu.