Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 206
Hivi nikweli kwamba serikali bado ni mwanahisa wa BP Tanzania? ni % ngapi na nini tafsiri ya adhabu waliopewa BP Tz ya kufungiwa kwa miezi 3?
usanii tupu, walisema bp itaendelea kuuza rejareja baada ya kununua kwa wauzaji wengine wa jumla